Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kilimo cha mchikichi katika Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma.
Na.Alex Sonna-KIGOMA
JESHI la Kujenga Taifa (JKT)...