Wednesday, 23 August 2023
BUILDING LEGACY: PRESIDENT SAMIA SULUHU HASSAN - REDEFINING LEADERSHIP FOR GROWTH AND UNITY IN TANZANIA.
MAMA VINARA WASAIDIA KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI KUTOKA KWA MAMA MWENYE VVU KWENDA KWA MTOTO

WEZI WAMEIBA KWANGU NA KUSHINDWA KUONDOKA!

Ukosefu wa usalama katika eneo letu ulipata kuangaziwa na vyombo vya habari vya eneo hilo, kwa wakati huo, familia yangu ilikuwa na wasiwasi sana, wazazi wangu walikuwa wakinihimiza nihamie eneo hilo.
Jioni moja, mama yangu alinipigia simu na kuniambia amepata njia ya jinsi familia yangu na mimi tutaweza kuwa salama, alisema kupitia African Doctors, mganga wa kienyeji, tutalindwa na kuwa salama.
Habari hiyo ilisikika kama muziki masikioni mwangu kwani hali ilikuwa inazidi kuwa mbaya katika eneo letu, nilimpigia African Doctors na nikauliza ikiwa kweli anatoa huduma hiyo, alinihakikishia kupitia dawa zake, familia yangu inaweza kuwa salama.
Nilikwenda kumuona siku iliyofuata na akanifanyia matambiko ya ulinzi, alisema kuanzia siku hiyo hakuna jambazi anaweza kuisogelea nyumba yangu, nilirejea nyumbani na kuendelea na maisha yangu.
Siku mbili baadaye niliamka na kukuta wanaume watatu wameanguka nje ya nyumba yangu, hawa walikuwa wamejaribu kuiba kwangu usiku lakini hawakuweza kupenya kwani dawa ya African Doctors iliwafanya wachanganyikiwe.
Ikiwa unahisi kama maisha yako yako hatarini, itakuwa wazo nzuri kumtembelea African Doctor, eye hufanya uchunguzi kwa wateja wake kwa kuuliza maswali machache kisha kukupa tiba ya uhakika.
African Doctors anasema nguvu zake hufanya kazi ndani ya masaa 24, pia anatibu magonjwa kama shinikizo la damu, ugonjwa wa kisukari, vidonda, kisonono, kaswende, kifua kikuu, upungufu wa nguvu za kime n.k.
Wasiliana na African Doctors kwa namba; +254 769 404965, tembelea tovuti yao; www.african-doctors.com au watumie email; africandoctorheals@gmail.com
Mwisho.
Tuesday, 22 August 2023
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA INDONESIA MHE.JOKO WIDODO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Indonesia ukipigwa katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwenye mapokezi rasmi kwenye Ziara ya Kikazi ya Rais huyo hapa nchini tarehe 22 Agosti, 20,2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati wakielekea kwenye Viwanja vya mapokezi ya Viongozi Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa Ziara ya Kikazi ya Rais huyo hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati alipowasili katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo Ikulu Jijini Dar es salaam wakati wa Ziara yake ya Kikazi hapa nchini tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakati alipokuwa akitia saini kitabu cha Wageni alipowasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 22 Agosti, 2023.Monday, 21 August 2023
STAMICO IMARISHENI SEKTA YA CHUMVI NCHINI - DKT. KIRUSWA










.jpeg)










.jpeg)













