Friday, 23 April 2021

Uteuzi Mwingine Uliofanywa Na Rais Samia Suluhu Hassan Leo



Share:

Wafanyakazi Wa Wma Watakiwa Kufanya Kazi Kwa Weledi, Ubunifu, Na Bidii Huku Wakiaswa Kuachana Na Vitendo Vya Rushwa Na Ukandamizaji


 Na Eliud Rwechungura
Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) wametakiwa kufanya kazi kwa Weledi, ubunifu  na bidii kubwa ili waweze kuwafikia walengwa wengi kwa kukagua vipimo vingi zaidi huku wakiaswa kuachana na vitendo vya rushwa, ukandamizaji wa wateja ili kuondokana na hali ya kupoteza mapato ya Serikali.

Ameyasema hayo, Mwenyekiti wa bodi ya Wakala wa Vipimo Tanzanai, Eng.Dkt, Adelhelm Meru, leo Aprili 23, 2021 Misugusugu, Mkoani Pwani kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara wa Viwanda na Biashara, Dotto James wakati wa mkutano wa 29 wa Baraza la Wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo Tanzania wenye lengo la kujadili Mpango na Bajeti  katika Kipindi cha mwaka wa fedha 2021/22.

‘‘Nawahimiza Menejimenti pamoja na wafanyakazi wa WMA waendelee kufanya kazi kwa weledi na bidii kubwa kusudi tuweze kuwafikia walengwa wengi zaidi kwa kukagua vipimo vingi zaidi lakini pia kuongeza ukusanyaji wa maduhuri kutoka bilioni 27 za sasa na kufikia zaidi ya Bilioni 30 ’’ amesema Mwenyekiti wa bodi ya Wakala wa Vipimo Tanzanai, Eng.Dkt, Adelhelm Meru.

Aidha, Eng.Dkt, Adelhelm Meru ameeleza kuwa kupitia kikao cha wajumbe wa  Baraza la wafanyakazi la Wakala wa Vipimo Tanzania watapitia bajeti ya Wakala kwa mwaka wa fedha 2021/22 ikiwa ni utamaduni uliozoeleka ili uongozi uweze kuendana na wafanyakazi wake ni vizuri kuwashirikisha wafanyakazi.

‘’Tunajua kwamba ili uongozi uweze kuendana na wafanyakazi ni vizuri kuwashirikisha wafanyakazi katika masuala haya ya bajeti kwani ni hatua moja inaonyesha wakala wa vipimo haiwaachi mbali wafanyakazi wake kushirikiana nao katika mambo yote yanayohusu hatima ya wakala wanayoongoza,’’alisema Eng.Dk, Adelhelm Meru

Eng.Dkt, Adelhelm Meru amewasisitiza wafanyakazi wa Wakala wa Vipimo Tanzania kuondokana na hali ua kufanya kazi kwa mazoea huku akiwataka kufanya kazi kwa tija, weledi  na ubunifu huku akiwasii kuwa waadilifu na kuacha na vitendo vya rushwa kwa sababu rushwa inaharibu sifa ya mfanyakazi pia rushwa inawakandamiza walaji ambao wanapaswa kuwalinda huku ikisababisha kupoteza mapato ya serikali

Kwa Upande wake, Kaimu Ofisa Mtendaji wa Wakala wa Vipimo Tanzania, Stella Kahwa ameeleza kuwa lengo kuu la  kikao hicho cha baraza ni kujadili bajeti ya WMA ambapo  mpaka sasa wakala ya vipimo ina mikoa 29 na bajeti yao inaanza kutengenezwa kuanzia ngazi ya mkoa

 ‘‘Bajeti lazima iwe shirikishi na ikiwa shirikishi ni rahisi kutekelezeka, hiki tunachojadili ni majumuisho ya bajeti ndogondogo zilizotengenezwa kuanzia ngazi ya mkoa,’’amesema Kaimu Ofisa Mtendaji wa Wakala wa Vipimo Tanzania, Stella Kahwa.

Stella Kahwa ameendelea kueleza kuwa kikao hicho wamekuja kuelekezana ili mikoa iweze kujuana bajeti zao ili wajue mkoa huu una bajeti kiasi gani ili wote waweze kuongea lugha moja na kuwa rahisi katika utekelezaji wa bajeti yao ambayo inatakiwa isimamie uzalishaji na matumizi ya vipimo katika viwanda, hivyo sura ya viwanda lazima ionekane katika vipimo.


Share:

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Katibu Mtendaji wa SADC


Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Dkt. Stergomena Tax, ambaye amempa taarifa juu ya masuala mbalimbali yanayohusu Jumuiya hiyo.

Wakati wa mazungumzo hayo Dkt. Tax amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kushika madaraka ya Urais na kuwa Rais wa kwanza Mwanamke Tanzania na amempongeza kwa hotuba nzuri aliyoitoa Bungeni jana ambayo imetoa mwelekeo wa Serikali ya awamu ya sita.

Dkt. Tax ambaye anamaliza muda wake wa miaka 8 mwezi Agosti mwaka huu, ameishukuru Tanzania kwa ushirikiano alioupata wakati wote akiwa Katibu Mtendaji wa SADC na ameipongeza Tanzania ambayo wakati wa uenyekiti wake wa SADC imeandaa na kukamilisha mkakati wa maendeleo wa SADC licha ya kuwepo kwa janga la corono.

Aidha, amesema katika kipindi hicho SADC imeendelea kuwa na utulivu wa kisiasa ambao umetoa fursa nyingi za maendeleo ya kiuchumi, hivyo ametoa wito kwa Tanzania kutilia mkazo katika uimarishaji wa sekta za uzalishaji kama vile viwanda, kilimo, biashara, kusimamia ubora na kuendeleza miundombinu.

Kwa upande wake, Rais Samia Suluhu Hassan amempongeza Dkt. Tax kwa kuiwakilisha vizuri Tanzania katika utumishi wake akiwa Katibu Mtendaji wa SADC na ameahidi kufanyia kazi ushauri na fursa mbalimbali ambazo SADC anazitoa kwa Tanzania.

Rais Samia Suluhu Hassan amemkaribisha nyumbani baada ya kumaliza muda wake ili aungane na Watanzania katika ujenzi wa Taifa.

Mazungumzo hayo yamefanyika Ikulu jijini Dodoma na kuhudhuriwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula.


Share:

Ntobo Mik 1....Ni Dawa Ya Asili ya Vidonda Vya Tumbo Iliyofanyiwa Utafiti Kwa Miaka Mingi


 NTOBO MIK 1
Ni Dawa ya vidonda vya tumbo iliyofanyiwa utafiti kwa miaka mingi  mwanga wa matumaini kwa wanao teseka na Vidonda vya Tumbo.

Huwezi kuzungumzia magonjwa yanayotesa Jamii ya watu wengi Duniani bila kuzungumzia Vidonda vya Tumbo.

Ugonjwa huu husababishwa na aina ya bakteria anayeitwa kwa jina la HP (Helicobacter Palory) mtu hujikuta anateseka na maumivu makali ya Tumbo bila kujuwa kuwa ni vidonda vya tumbo

DALILI ZAKE:
1.     Tumbo kuwaka moto
2.     Tumbo kujaa gesi au haja kubwa kuwa ngumu
3.     Kutokupata choo vizuri
4.     Kiungulia cha mara kwa mara
5.     Kichwa kuuma
6.     Maumivu makali ya tumbo lajuu wengi huuita chembe ya moyo
7.     Kukosa hamu ya kula
8.     Kizunguzungu
9.     Kichefu chefu

Ugonjwa huu ukishamili sana mgonjwa hujikuta anatapika damu au kujisaidia choo chenye mchanganyiko na damu.

Nini suluhisho;
BABU MADUHU MTAALAMU MWENYE UWEZO MKUBWA WA KUTIBU VIDONDA VYA TUMBO
BABU MADUHU ANAPATIKANA MAGOMENI MOROCCO HOTEL KITUO CHA KANISANI
PIGA SIMU NO. 0755 684 297/ +255 652 102 152 (WHATSAPP)


Share:

Wimbo Mpya: Harmonize Ft. H baba & Awilo Longomba – Attitude

Wimbo Mpya:  Harmonize Ft. H baba & Awilo Longomba – Attitude 



Share:

OFA! Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Mbezi- Kwembe Kwa Bei Nzuri Kabisa

 Ofa! Ofa! Viwanja vilivyopimwa vinauza Mbezi- Kwembe- Nyuma ya ofisi za halmashauri ya Ubungo, kituo cha Luguruni. Ukubwa ni kuanzia Sqm 400 Bei sqm 1 =15,000/= (6,000,000/=). Malipo ndani ya miezi sita. Kianzio 25% ya bei ya kiwanja. Eneo ni zuri lina Umeme, maji na kuna watu wa kutosha
0659 972868
0759 461893



Share:

Technician – Electrical Fitter at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Key Duties and Responsibilities Executes dismantling, bearing inspection, bearing replacement and assembly of LV motors. Executes alignment of drive (motor) & driven (Mechanical equipments). Implements the safety procedures & Housekeeping within work area. Ensures proper upkeep of his tools & tackles. Performs any other relevant activities assigned by Seniors. Requirements Key Requirements Education and […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Logistic / ERP Officer at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Job Summary Performing SAP related activities for Transport Department (Trained for MM, PM & SD) core user Key Duties and Responsibilities Creating Purchase Requisition of all material usage in Transport Department and make sure maximum follow up on behalf of the department. Creating Reservation of different materials like fuel etc. Creating Service entry sheet. […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Blaster at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Key Duties and Responsibilities Read instructions or diagrams, lay out drill pattern and determine depth and diameter of blast holes and conduct field tests to determine type and quantity of explosives required. Mark pattern of drill holes or issues drilling instructions for depth and placement of blast holes. Assemble primer charges using selected detonators, […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Fleet Manager at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Key Duties and Responsibilities· Liaise with FOS in all issues related to fleet management. · Maintain electronic databases of sales, registration, inspections and maintenance of fleet management. · Ensure fleet availability to meet all requests by scheduling, forecasting and surveying current user trends. · Arrange fleets and fleet operational staff to provide support and […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Fleet Officer at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Job Summary Provide support for the implementation of DIL’s logistics policies and processes by participating in planning/ coordinating movement of cement products and/ or materials between the Plant and approved areas Key Duties and Responsibilities Manage vehicular traffic, including loading activities (off-loading and on-loading) at the Plant to ensure overall orderliness and efficiency of […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Logistics Officer -Traffic Control at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Job Summary Provide support for the logistics function by managing loading activities (on-loading and trans-loading) at assigned depot to ensure overall orderliness and efficiency of depot operations Key Duties and Responsibilities Supervise traffic control officers at the gate. Receiving reports from traffic controllers and sending them to the senior traffic control. Management of all […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

MIS- Data Analyst at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Job Summary · To analyse all transport reports in details and submit them to HOD’s Key Duties and Responsibilities · Prepare daily morning trucks status. · Maintain and monitor data management system to organize fleets as per various schedules and requests. · Review daily tracking return report and list of parked outside the gate. […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Logistics Officer at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Key Duties and Responsibilities Managing and controlling Third party trucks made available to service as declared by Third part Transporter. Managing and controlling Issue of ATC & ITA to Third party Trucks according to the Dispatch plan. To monitor and Truck All Goods In transit carried by Third party trucks. Checking, extracting, and investigating […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

Security Officer at Dangote Cement Mtwara

This this content has been copied from Udahiliportal , please kindly visit udahiliportal.com to access full content

Description Key Duties and Responsibilities To enforce the access control system applied for controlling the entry and exit of Employees/Staff, Co-partners, (Sub)Contractors and Visitors/Guests To patrol the strategic points and installations To prevent unauthorized entry into security areas To report suspicious incidents, threats, or persons To confront any illegal action against the premises To report […]

This this content has been copied from udahiliportal.com , please kindly visit Udahiliportalto access full original content content or click here for more details

 

 

Share:

WAZIRI NDAKI AWATAKA WAFUGAJI KUSIMAMIA MAENEO YALIYOTENGWA KWA AJILI YA MALISHO

 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro wakati alipofika mkoani hapo kwa ajili ya kufungua mkutano wa kumi na moja (11) wa siku ya Nyanda za Malisho Tanzania utakaofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Edema. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mhe. Loata Ole Sanare. (21.04.2020)

Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Maeneo ya Malisho na Rasilimali za Vyakula vya Mifugo (WMUV), Dkt. Asimwe Rwiguza akisoma taarifa kwa niaba ya Katibu Mkuu Mifugo kwenye mkutano wa kumi na moja (11) wa siku ya Nyanda za Malisho Tanzania uliofanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Edema mkoani Morogoro.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki akifungua mkutano wa kumi na moja (11) wa siku ya Nyanda za Malisho Tanzania ambapo wamewataka wafugaji kuhakikisha wanasimamia na kuyatunza maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli za ufugaji. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Edema mkoani Morogoro.

Baadhi ya Viongozi na wajumbe wa mkutano wa kumi na moja (11) wa siku ya Nyanda za Malisho Tanzania wakisikiliza Hotuba ya ufunguzi ya mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Hoteli ya Edema mkoani Morogoro.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki akimkabidhi Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Uendelezaji Maeneo ya Malisho na Rasilimali za Vyakula vya Mifugo (WMUV), Rogers Shengoto (kulia) Kitabu cha Mpango Mkakati wa Kwanza wa Utekelezaji wa Malengo ya Chama cha Malisho Tanzania wa Miaka Mitano 2021-2025 kwenye mkutano wa kumi na moja (11) wa siku ya Nyanda za Malisho Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Edema mkoani Morogoro.

 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka wafugaji kusimamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya wafugaji na kuhakikisha wanayatunza.

Ndaki ameyasema hayo (21.04.2021) wakati akifungua mkutano wa kumi na moja (11) wa siku ya Nyanda za Malisho Tanzania uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Edema katika mkoani Morogoro.

Wafugaji wametakiwa kuhakikisha wanayasimamia na wanayatunza maeneo yote yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli za ufugaji na kuyaendeleza kwa kupanda malisho na kuweka miundombinu ya maji kwa ajili ya kunyweshea mifugo yao.

“Ni lazima maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya shughuli za ufugaji tunayalinda na kuyaendeleza kwa kupanda malisho na kuweka miundombinu ya maji na siyo kuyaacha yabaki kama mapori kwani watumiaji wengine wa ardhi wanaweza kuanza kuyatumia na baadae migogoro inaanza,” alisema Ndaki.

Ndaki pia amewataka wafugaji kuhakikisha wanaendelea kuomba ardhi kwa ajili ya shughuli za ufugaji katika vijiji na kumilikishwa kwa kupata hati za kimila ili waweze kuwa na maeneo kwa ajili ya mifugo yao lakini pia waweze kupanda malisho.

Akizungumza katika mkutano huo Waziri Ndaki amesema viongozi ni lazima wabadili fikra pale wanapoona mifugo imeingia katika maeneo yao, badala ya kulalamika inatakiwa watafute suluhisho kwani uwepo wa mifugo ni fursa kiuchumi katika maeneo yao.

Vilevile amewataka wataalam kuendelea kutoa elimu kwa wafugaji kuhusu umuhimu wa kumiliki ardhi na upandaji wa malisho kwa ajili ya mifugo yao.

Ndaki amekishukuru Chama cha Nyanda za Malisho Tanzania kwa kazi nzuri wanayoifanyana na amewahakikishia kuwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi itaendelea kuwapa ushirikiano kwani malisho kwa mifugo ni jambo la muhimu.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Loata Sanare amesema kuwa mkoa wake kwa asilimia kubwa una wafugaji na wakulima lakini tatizo kubwa lililopo ni watu kupata ardhi bila kufuata utaratibu, hata kwenye maeneo ambayo tayari yalishapimwa na kutengwa kwa ajili ya shughuli za kilimo, mifugo na watumiaji wengine wa ardhi.

Sanare amesema kwa sasa wanaendelea kuwadhibiti watu ambao wanavamia ardhi bila kufuata utaratibu ikiwa ni pamoja na kuwachukulia hatua viongozi kwenye vijiji na wataalam ambao wametoa hati za kimila bila kufuata utaratibu au kwa kutojiridhisha.

Akisoma taarifa kwa niaba ya Katibu Mkuu anayesimamia Sekta ya Mifugo, Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji Maeneo ya Malisho na Rasilimali za Vyakula vya Mifugo, Dkt. Asimwe Rwiguza amesema wizara imekuwa ikishirikiana na Chama cha Nyanda za Malisho na wataalam katika utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya uendelezaji nyanda za malisho hapa nchini.

Dkt. Rwiguza amesema wameshirikiana na chama hicho katika maandalizi ya Mwongozo wa Upatikanaji, Usimamizi na Uendelezaji wa Maeneo ya Malisho ambapo mwongozo huo upo katika hatua za mwisho ili uweze kuwasilishwa kwa wadau kwa ajili ya kupata maoni yao.

Wizara kwa kushirikiana na wadau ikiwemo Chama cha Nyanda za Malisho imeendelea kutatua migogoro mbalimbali ya ardhi inayowahusu wafugaji na watumiaji wengine wa ardhi. Vilevile Dkt. Rwiguza amewasihi wafugaji kuhakikisha wanayatumia Mabaraza ya Ardhi ya Kata pale wanapokuwa na migogoro ya ardhi.

Mwenyekiti wa Chama cha Nyanda za Malisho Tanzania, Dkt. Ismail Selemani amemshukuru Waziri kwa kukubali mwaliko wao na kushiriki katika kikao hicho. Lakini pia amesema kuwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kila mwaka imekuwa ikiendele kutatua changamoto mbalimbali zinazohusiana na Nyanda za Malisho.

Dkt. Selemani amesema kupitia wizara wanashuhudia kasi ya uanzishwaji wa viwanda vya kuchakata mifugo na mazao yake hali ambayo itasaidia kukuza uchumi wa wafugaji na kuongeza mchango wa mifugo katika pato la taifa.

Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA APRILI 23,2021































Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger