Saturday, 31 August 2019

Wanaoihujumu Serikali na Kusababisha Ndege ya Tanzania Kushikiliwa Afrika Kusini Kufunguliwa Mashitaka

Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt Hassan Abbas amesema serikali itawafungulia kesi ya kuhujumu nchi watu wote watakaobainika kuihujumu serikali juu ya kukamatwa kwa ndege ya Tanzania nchini Afrika Kusini, pindi kesi iliyoplekea kukamatwa ndege hiyo itakapomalizika. Akizungumza mjini Dodoma leo Jumamosi...
Share:

KIJANA ASULUBIWA KAMA YESU KWA KUPIGILIWA MISUMARI KARIBU NA KITUO CHA POLISI

 Polisi nchini Uganda inachunguza kisa cha mwanamume mmoja aliyeshambuliwa kisha kupigiliwa misumari katika msalaba. Inadaiwa mwanaume mwenye umri wa miaka 21 alishambuliwa na watu wawili wasiojulikana Alhamisi Agosti 29,2019 kwa madai ya kuunga mkono chama tawala cha National Resistance Movement...
Share:

MBUNGE WA CHADEMA JOSEPH MBILINYI 'SUGU' AFUNGA NDOA

Na Godfrey Kahango, Mwananchi  Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu leo Jumamosi Agosti 31, 2019 amefunga ndoa na Happiness Msonga katika Kanisa Katoliki Ruanda jijini Mbeya. Katika misa hiyo wabunge 10 wa Chadema walihudhuria wakiongozwa na Meya wa Jiji la Mbeya, Mchungaji...
Share:

MKUTANO MKUU WA MABALOZI WA USALAMA BARABARANI 'RSA' WAFANYIKA JIJINI MWANZA

Mwakilishi wa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Marlin Komba,akizungumza na Mabalozi wa Usalama barabarani Nchini.(RSA ) katika mkutano mkuu uliofanyika Jijini Mwanza Agosti 30,2019 .Picha zote na Vero Ignatus. John Seka Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Mabalozi wa Usalama Barabarani nchini...
Share:

WAZIRI MWAKYEMBE : SERIKALI IMEJIPANGA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MIUNDO MBINU YA VIWANJA VYA MPIRA

Na Lydia Lugakila - Malunde 1 blog Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imejipanga kumaliza changamoto ya miundombinu mibovu ya viwanja vya mpira nchini ili kuwezesha sekta ya michezo kufanya vizuri. Kauli hiyo imetolewa jana na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison...
Share:

Mo Dewij awaomba msamaha Mashabiki wa Simba

Muwekezaji wa simba SC  Mohamed Dewij amefunguka na kuonyesha jinsi alivyoumizwa na matokeo mabaya ya timu ya Simba dhidi ya wapinzani wao kutoka Msumbiji UD Songo katika michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya kutolewa mapema kwenye michuano hiyo Hii imekuja baada ya Simba kupata sare ya 1-1...
Share:

Kesi Ya Vigogo CHADEMA Yapigwa Kalenda

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,  jana ilishindwa kuendelea na ushahidi katika kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chadema, akiwemo mwenyekiti wake, Freeman Mbowe, kutokana na wakili wa washtakiwa hao, Peter Kibatala kutokuwepo mahakamani. Kibatala alitakiwa jana Ijumaa Agosti...
Share:

Watu 5 wafariki baada ya gari la dangote kugongana na gari dogo Rufiji mkoani Pwani.

Watu watano wamefariki baada ya Gari la Dangote lililokuwa limebeba malighafi ya kutengenezea saruji likielekea Mtwara kugongana na Gari dogo na kupinduka kisha kuwaka moto baada ya kupoteza muelekeo na kugonga nguzo ya umeme ikaanguka na waya wenye moto ukanasa kwenye bodi ya gari hiyo ya Dangote...
Share:

Aua Mkewe Kwa kumnyonga shingo kisha kujiua kwa kunywa sumu.

Mkazi wa kijiji cha Iponya katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, Paschal Clement (32), amemuua mkewe Ashura Paschal (30) kwa kumnyonga shingo kisha kujiua kwa kunywa sumu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao, alisema kuwa tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa moja jioni katika kijiji...
Share:

Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi aridhishwa na miradi ya SUMA JKT Kanda ya Ziwa

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi amesema anaridhishwa na kazi nzuri inayofanywa na miradi inayotekelezwa na SUMA JKT kanda ya Ziwa. Dkt. Mwinyi akiwa kwenye ziara yake ya kukagua miradi inayotekelezwa na SUMA JKT pamoja na makampuni mengine yaliyo chini ya Wizara...
Share:

Polisi Pwani Yakamata Shehena Ya Vipodozi Feki

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI JESHI la polisi mkoani Pwani, linamshikilia Albert Kiwia (45) mkazi wa Kimara Dar es salaam kwa kosa la kusafirisha shehena ya vipodozi feki mbalimbali ,kwa kutumia gari aina ya Toyota Nissan. Katika hatua nyingine, jeshi hilo limefanikiwa kukamata madumu saba ya mafuta ya...
Share:

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi August 31

...
Share:

Friday, 30 August 2019

MWENDESHA BODABODA ALIYEFARIKI KWA AJALI AZUA GUMZO KUACHA WAJANE 6 NA WATOTO 30

Siri nyingi hufichuka wakati ambapo binadamu anafariki kwani licha ya kuwa ni kinyume na itikadi kumuanika aliyeaga dunia, mambo mengine hasa ya kifamilia huwa vigumu kuyaficha.  Hayo ndiyo yalifichuka baada ya dereva mmoja wa bodaboda aitwaye Hassan Mafabi (51) mkazi wa Nakatundu Kangulumira...
Share:

SANAMU TATA YA TRUMP YAZUA GUMZO

Sanamu ya mbao ya Donald Trump, iliyotengenezwa na Tomaz Schlegl, ilisimamishwa wiki kadhaa baada ya sanamu ya Melania Trump Sanamu ya mbao ya rais wa Marekani imejengwa katika nchi alikozaliwa mkewe ya Slovenia, imeibua maoni tofauti. Ikiwa na urefu wa karibu futi 26, sanamu hiyo ilijengwa katika...
Share:

RAIS MAGUFULI AKERWA NA CHANGAMOTO ZA UMASKINI BARA LA AFRIKA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Mkutano wa Sita Jukwaa la Uongozi la Afrika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam, Tanzania. Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Rais John Magufuli wa Tanzania amesema masalia ya fikra za kikoloni walizonazo Waafrika wengi ni miongoni...
Share:

KAMPUNI ZA JAPAN ZENYE UZOEFU KWENYE MIRADI YA GESI ASILIA ZAONESHA NIA YA KUWEKEZA TANZANIA

Mkurugenzi Mtendaji wa TPDC, Dkt. James Mataragio akipeana mkono na Mtendaji Mkuu wa Chiyoda Corporation Ndg. Ken Nagao baada ya kikao baina ya ujumbe wa Tanzania na Kampuni ya Chiyoda. Wengine pichani kutoka kushoto ni Ndg. Pius Gasper (TANESCO), Dkt. Tito Mwinuka, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco,...
Share:

MTOTO MWINGINE ALIYEANGUKIWA NA BOMBA LA MAJI AFARIKI DUNIA

Mfano wa Bomba lililomwangukia mtoto. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Brnabas Mwakalukwa, amesema kuwa mtoto aliyeangukiwa na bomba kubwa la maji mkoani humo, amefariki dunia wakati akipelekwa hospitali ya Bugando kwa ajili ya matibabu. Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza katika...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger