Tuesday, 2 July 2019

Picha : MDAU WA BLOG ZA KIJAMII MABULA KUTOKA NHIF TANGA AACHANA NA UKAPERA

Mdau wa Blog za Kijamii Peter Mabula kutoka ofisi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) kushoto akiwa na Mkewe Jenipher Peter wakiingia kwenye Ukumbi wa Regail Naivera mara baada ya kufunga ndoa kwenye Kanisa Katoliki la St.Anthony Chumbageni Jijini Tanga Mdau wa Blog za Kijamii...
Share:

MAONESHO YA 43 YA BIASHARA YA KIMATAIFA KUFUNGULIWA

 Afisa Mwandamizi wa Malipo, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma,(PSSSF), Bi.Nyangi Masalu (kulia), akimuhudumia aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuendeleza Biashahara Nchini (Tan Trade), ambaye sasa ni Mstaafu na Mwanachama wa PSSSF, Bi.Jacqueline Mneney Maleko (kushoto),...
Share:

MKUTANO WA 23 WA TAASISI ZA MAWASILIANO AFRIKA MASHARIKI (EACO) WAANZA JIJINI MWANZA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (wapili kushoto), akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasilkiano Tanzania (TCRA), Mhandisi James M. Kilaba (watatu kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya (TCRA), Dkt. Jones Killimbe (wanne kushoto), Afisa Mtendaji...
Share:

KAMPUNI YA TIGO TANZANIA NA TECNO WAZINDUA SIMU MPYA

Meneja wa Bidhaa za intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga, (kushoto) akionyesha kwa waandishi wa habari simu mpya za Smartphone aina ya TECNO S3 na TECNO R7, wakati wa uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya Saba Saba jijini Dar es Salaam. (kulia) ni Meneja Uhusiano wa kampuni ya TECNO Mobile, Eric Mkomoya. Meneja...
Share:

NSSF NA PSSSF WASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SABASABA KWA PAMOJA

Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF Bi Lulu Mengele akitoa  elimu kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na NSSF katika banda la NSSF  na PSSSF katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa. Afisa Uhusiano wa NSSF...
Share:

Jinsi ya kukabiliana na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Tunapozungumzia upungufu wa nguvu za kiume tunakuwa katika uwanja mpana zaidi wa tafakari za kibaiolojia na kisaikolojia walizonazo wanaume. Lakini kwa kufupisha mlolongo wa mambo sehemu kuu tatu zinaweza kabisa kukidhi mchanganuo mzima wa jinsi tatizo hili linavyowasumbua wanaume wengi duniani. Sehemu...
Share:

Isikupite Hii! 👉Naitwa Chief Karim Wa Sultan.....Ni Bingwa Na Mtabiri Wa Nyota

Isikupite hii! 👉Naitwa CHIEF KARIM WA SULTAN Kutoka- TANGA - TANZANIA: Ni Bingwa, Mnajimu na Mtabiri wa Nyota na Matatizo yote ya ndoa/mahusiano. Natabiri nyota yako, Kung'alisha nyota, Kufungua nyota zako za mafanikio zilizo fungwa  na kusababisha usifanikiwe katika maisha yako, au unajikuta...
Share:

Mambo Sasa Amjibu Zitto Kabwe Sakata la Kutekwa Raia wa Kenya

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar Es Salaam (SACP) Lazaro Mambosasa, amewataka watu wenye taarifa zitakazosaidia upatikanaji wa  Raphael Ongangi, waziwasilishe ofisini kwake ili zifanyiwe kazi. Akizungumzia juu ya kauli zilizotolewa na kiongozi wa ACT Wazalendo,  Zitto Kabwe juu ya...
Share:

PICHA: Muonekano wa jengo namba 3 (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere

Picha hizi ni za Muonekano wa jengo namba 3 (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam likiwa katika majaribio.  Jengo hilo lina uwezo wa kuhifadhi ndege kubwa 24 kwa wakati mmoja, na litahudumia abiria milioni 6 kila mwaka. ...
Share:

Tundu Lissu Afunguka sababu ya kutomwandika barua spika wa Bunge, Job Ndugai

Aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameeleza sababu ya kutomwandika barua spika wa Bunge, Job Ndugai kumjuliusha kuwa yupo nje ya nchi kwa ajili ya matibabu. Wiki iliyopita Spika Ndugai alitangaza kumvua ubunge Lissu kwa kile alichoeleza kuwa kiongozi huyo hajulikana halipo zaidi...
Share:

NDUGAI AFURAHISHWA NA UCHAPAKAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TMA

 Spika wa Bunge la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai ameonesha kufurahishwa na utendaji kazi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) Dkt. Agnes Kijazi. ‘Utendaji wako wa kazi ni wa kiwango cha juu, tunaona mafanikio ya TMA katika utoaji wa taarifa za hali...
Share:

SAFARICOM YAMTEUA MICHAEL JOSEPH KUKAIMU NAFASI YA MTENDAJI MKUU ALIYEFARIKI JANA

Kampuni ya Safaricom imemteua ofisa mtendaji mkuu wake wa zamani, Michael Joseph kukaimu nafasi ya mtendaji mkuu iliyoachwa na Bob Collymore aliyefariki dunia jana Julai 1, 2019. Kwenye mkutano maalumu wa wakurugenzi jana Jumatatu, bodi ya kampuni imeamua kumteua Michael Joseph kuongoza ambapo...
Share:

SERIKALI YAJIPANGA KUZUIA MBU WAAMBUKIZAO HOMA YA DENGUE

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka waganga wakuu wa mikoa kuchukua hatua za makusudi kuzuia mbu waambukizao homa ya dengue na kusisitiza mikoa iliyo mpakani kuchukua tahadhari ya ugonjwa wa ebola. Waziri Mwalimu ameagiza hayo jana jijini Dodoma wakati...
Share:

Iran Yasema Imezidisha Kiwango cha Madini ya Urani

Waziri wa Mambo ya Nchi za Kigeni wa Iran Mohammed Javad Zarif amesema  kuwa Iran imezidisha  ukomo wa viwango vya madini yake ya urani katika hifadhi zake, uliowekwa chini ya mkataba wa 2015 wa nyuklia.  Shirika la habari la Iran - ISNA limeripoti kuwa Iran ilipitisha kiwango cha...
Share:

Daktari Atoa Ushahidi Kesi Ya Mbowe na Vigogo Wengine CHADEMA

Shahidi wa tano, Inspekta Msaidizi Dk. Juma Alfani (54) katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake, amedai mahakamani kwamba aliwapokea Koplo Rahim na Konstebo Fikiri wakiwa wanapiga kelele za kulalamika maumivu...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger