Wednesday, 19 December 2018

TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATANO DEC 19,2018

Kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino anataka kurithi mikoba ya Jose Mourinho ambaye amefutwa kazi na Manchester United, ila itawalazimu United kuilipa Spurs dau la pauni milioni 34 kama watataka kumpeleka mkufunzi huyo raia wa Argentina katika uga wa Old Trafford . (Times) Kocha wa Real Madrid...
Share:

Video Mpya : MAMA USHAURI - SAFARI

Ninayo hapa Ngoma mpya ya msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri 'Full Melody Classic' inaitwa Safari...ni ngoma kali sana ya kufungia mwaka 2018...Itazame hapa chini ...
Share:

Ngoma Mpya : MAMA USHAURI - MIGOGORO......DUDE KALI LA KUFUNGIA MWAKA 2018

Msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri maarufu Full Melody Classic kutoka mkoani Shinyanga anakualika kutazama video yake mpya inaitwa Migogoro..Itazame hapa ...Bonge moja la ngoma la kufungia mwaka 2018. ...
Share:

SAKATA LA MEMBE KUUTAKA URAIS, NI MPASUKO NDANI YA CCM??....WENGINE WADAI MASALIA YA CCM Vs CCM WAKUJA

Sakata la tuhuma dhidi ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuonyesha mapema nia ya kutaka urais katika uchaguzi ujao, limeelezwa kuwa ni mpasuko ndani ya chama hicho. Mchambuzi wa masuala ya siasa nchini, Profesa Mwesiga Baregu, anasema kwa sasa ndani ya CCM, kuna makundi mawili...
Share:

Utafiti : KUMPAPASA PAPASA 'KUMSHIKA SHIKA' KUNAPUNGUZA MAUMIVU

Kumpapasa papasa mtoto au kumkanda taratibu kunapunguza pakubwa shughuli katika ubongo wake hasa zinazohusiana na maumivu, utafiti umebaini hilo. Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Oxford kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha John Moores cha Liverpool, ulifuatilia shughuli za ubongo wa zaidi ya watoto...
Share:

Video Mpya : MO MUSIC - NAIONA KESHO

Video Mpya: Mo Music – Naiona Kesho ...
Share:

MKANDARASI ATAKAYE SUASUA KATIKA SUALA LA UMEME KUNYANGANYWA KAZI

  Na Mwandishi wetu Ruvuma. Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu ameendelea na ziara ya ukaguzi wa miradi ya umeme mkoani Ruvuma ambapo leo amewasha umeme Kijiji cha Palangu na Mang’ua pamoja mtaa wa Luhila Seko katika Wilaya ya Songea ambavyo vimepata umeme kupitia mradi wa usambazaji umeme vijijini wa Awamu ya Tatu (REA III) mzunguko wa kwanza na mradi wa Makambako – Songea. Huo ni muendelezo...
Share:

AUMUUA KIKATILI HAWALA YAKE KISHA NA YEYE KUJIUA

Na Allawi Kaboyo Bukoba. Watu wawili wanaodaiwa walikuwa katika mahusiano ya kimapenzi wamefariki baada mmoja kunyongwa na mwingine kujinyonga, katika mtaa wa Mafumbo katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Kamanda wa polisi mkoani Kagera Revocatus Malimi alisema kuwa mauaji hayo yamegundulika Desemba 17 mwaka huu saa 11 jioni katika mtaa huo. Malimi alimtaja anayedaiwa kunyongwa na mpenzi wake...
Share:

Tuesday, 18 December 2018

VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA VYATOA TAMKO ZITO KUHUSU DEMOKRASIA... WASEMA 2019 MWAKA WA KAZI

Vyama sita vya upinzani vilivyokaa kikao chao Zanzibar vimesema mwaka wa 2019 ni mwaka ambao watapambana kwa hali zote katika kudai haki zao wanazonyimwa kinyume na sheria za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania. Kauli hiyo ilitolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Maalim Seif Shariff...
Share:

DIAMOND PLATNUMZ, RAYVANYY WAFUNGIWA KUFANYA MUZIKI.....TAMASHA LA WASAFI FESTIVAL LAFUTWA

Baraza la Sanaa nchini (Basata) limewafungia wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny kutojihusisha shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana. Taarifa ya Baraza hilo iliyotolewa leo Desemba 18, imesema limefikia uamuzi huo baada ya wasanii hao kuonyesha dharau kwa mamlaka zinazosimamia shughuli za sanaa...
Share:

RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KUFUATIA KIFO CHA MAKAMU MKUU WA UDOM PROF. EGID BEATUS MUBOFU

Rais John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Benjamin Mkapa kufuatia kifo cha Makamu Mkuu wa chuo hicho, Profesa Egid Mubofu. Profesa Mubofu amefariki dunia leo Jumanne Desemba 18, 2018 Pretoria, Afrika Kusini alikopelekwa kwa ajili ya matibabu zaidi akitokea...
Share:

WANAUME GEITA WALALAMIKIWA KUINGILIA WAKE ZAO KWA NGUVU

Picha haihusiani na tukio. Wanaume mkoani Geita wamedaiwa kuwa chanzo cha migogoro ndani ya familia zao kutokana na tabia ya kuwaingilia kwa nguvu wenza wao wakati wanapohitaji tendo la ndoa pasipo kujali kufanya hivyo ni kutenda jinai. Hayo yameelezwa na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Wilaya...
Share:

MWALIMU AMUUA KWA KUMNYONGA KWA TAI MPENZI WAKE BUKOBA..USALITI WATAJWA

Marehemu Regina Temu. Watu wawili wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, Karoli Domisian (36) na Regina Temu (29) wamefariki katika mtaa wa Mafumbo, manispaa ya Bukoba mkoani Kagera baada ya mwanaume kumuua mpenzi wake kisha yeye mwenyewe kujinyonga, kisa usaliti wa mapenzi. Kamanda wa...
Share:

VIGOGO WANNE WALIOFUKUZWA CCM KWA USALITI WASUKUMWA NDANI

Chama cha Mapinduzi CCM kimewafungulia baadhi ya makada wake waliokuwa ni wenyeviti wa mikoa wa chama hicho ambao walifungiwa kwa tuhuma za kukisaliti chama. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally amesema, "kimepokea maombi ya kufutiwa adhabu...
Share:

VYAMA VYA UPINZANI VYAJILIPUA,VYATOA MAZIMIO HAYA YAKUPINGANA NA AGIZO LA JPM

NA KAROLI VINSENT VYAMA Sita vya Upinzani vilivyokutana Faragha kwa muda siku mbili,vimekuja na maazimio ya Mawili mazito, ikiwemo la kufanya mikutano ya Hadhara pamoja na kuwatangaza Viongozi wa Upinzani waliokuwa Gerezani kuwa ni wafungwa wa kisiasa. Maazimio hayo ambayo yanatajwa kama yakumjaribu Rais John Magufuli ,baada ya kupingana na Agizo alilotoa Rais la kuweka  utaratibu wa vyama hivyo...
Share:

BEKI HUYU WA YANGA ATUMA UJUMBE HUU KUELEKEA MECHI YA AFRIKA LYON

LICHA ya Timu ya Yanga ambao ni Mabingwa historia kukumbana na sintofahamu kuhusu Kocha wa timu hiyo Mkongoman Mwinyi Zahare na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Hussein Nyika ,Beki kinda wa timu hiyo, Paul Godfrey amesema wapo tayari kuvaana na African Lyon katika mchezo wao wa Ligi Kuu utakaopigwa mkoani Arusha siku ya alhamisi katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Yanga wamefanikiwa kufanya vizuri...
Share:

SERIKALI YAMFUNGIA MSANII DIAMOND KWA MDA USIOJULIKANA,NI SIKU MOJA KUPITA BAADA YA KULIPONDA SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL

NA mwandishi wetu NI mwaka wa shetani kwa wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny ndivyo naweza kusema mara baada Baraza la Sanaa nchini (Basata) limewafungia kutojihusisha shughuli za sanaa kwa muda usiojulikana. Taarifa hii ya kufungiwa wimbo huu ,unakuja ikiwa ni siku moja kupita baada ya msanii Diamond ambaye anatwajwa kuwa na mafakikio makubwa kuirushia lawama Shirika la Ndege nchini la (ATCL)...
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger