
Picha haihusiani na tukio.
Wanaume mkoani Geita wamedaiwa kuwa chanzo cha migogoro ndani ya familia zao kutokana na tabia ya kuwaingilia kwa nguvu wenza wao wakati wanapohitaji tendo la ndoa pasipo kujali kufanya hivyo ni kutenda jinai.
Hayo yameelezwa na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Wilaya...