Wednesday, 15 July 2015
Dada kafunga safari hadi Dar kumfuata Aslay… Zisikilize stori zake (Audio)
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
U Heard leo Soudy Brown
kampata msichana ambae ametoka Mkoani kuja Dar kwa ajili ya kukutana na
Aslay wa Yamoto Band.. Msichana huyo anadai ametoka Geita kuja Dar
kukutana na Asla...
BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI>>>>>Dada kafunga safari hadi Dar kumfuata Aslay… Zisikilize stori zake (Audio)
Tuesday, 14 July 2015
MPYA:CHADEMA WAKANUSHA KUHUSU EDWARD LOWASSA KUHAMIA UKAWA
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Uongo ukiachwa ukasemwa sana bila kusahihishwa unaweza kugeuka kuwa ukweli.
Tungependa kusahihisha propaganda nyepesi zinazoendelea kuenezwa ili kuusaidia umma usiendelee kupotoshwa kwa mambo yasiyokuwa ya msingi huku kukiwa na mambo makubwa yanayohitaji 'attention' ya Watanzania kuamua mustakabali sahihi wa nchi yao kwa kuchagua MABADILIKO kupitia uchaguzi wa kihistoria hapo Oktoba 25.

Monday, 13 July 2015
WARDA MAKONGWA ,KIUKWELI UNANIKOSHA SANA
Sunday, 12 July 2015
TANZIA: Muigizaji mkongwe, Mzee Ojwang (Benson Wanjau) afariki Dunia nchini Kenya
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Mzee Benson Wanjau maarufu kama Mzee OJWANG HATARI mume wa Mama Kayaii amefariki usiku huu majira ya Saa 2 Hospital ya KEnyatta National Hospital alipikuwa akipata matibabu ya maradhi yaliyomsumbua kwa kipindi kirefu kidogo.