INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Mzee
Benson Wanjau maarufu kama Mzee OJWANG HATARI mume wa Mama Kayaii
amefariki usiku huu majira ya Saa 2 Hospital ya KEnyatta National
Hospital alipikuwa akipata matibabu ya maradhi yaliyomsumbua kwa kipindi
kirefu kidogo.
Habari yenu,Serikali kupitia wizara ya
elimu na mafuzo ya ufundi imefanya selection ya wanafunzi
waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu special diploma UDOM ambao
hawajachaguliwa kidato cha tano 2015.
Kwa habari za kuaminika kutoka vanzo
vyetu vya habari ni kwamba zoezi la kuhesabu kura limekamilika na kura
kwa wagombea wetu ni kama ifuatavyo, CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimempitisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa
mgombea urais kupitia chama hicho. Anandika Mwandishi Wetu, Dodoma …
(endelea).