INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(ili kuanagliziwa jina lako kama lipo tafadhali tuma jina lako kwenda namba 0768260834 usipige simu ,pia ambatanisha na gharama ya tshs.800 kwa mpesa na utajibiwa mapema iwezekanavyo) |
TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU AWAMU YA PILI MWAKA WA MASOMO 2014/2015
KUNDI LA I Waombaji 611 wenye sifa za kujiunga na mafunzo ya ualimu ambao waliwasilisha maombi yao Wizarani awamu ya pili kwa ajili ya kuchaguliwa kujiunga na mafunzo mwaka wa masomo 2014/15. Waombaji hawa wamechaguliwa na kupangiwa vyuo kulingana na Programu za mafunzo (Angalia orodha iliyoambatanishwa). Waliochaguliwa wanatakiwa kufanya maandalizi ya kujiunga na vyuo walivyopangiwa kwa kuzingatia maelekezo ya fomu zilizoambatishwa za kujiunga na chuo husika. Tarehe rasmi ya kuripoti vyuoni itatolewa mapema Januari 2015. |