INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Dar es Salaam. Mvutano mpya umeibuka
baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumvaa Msajili wa
Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi kikidai ofisi yake inatumiwa na
wasaliti wa chama hicho.
Pia, chama hicho kimemtaka Jaji Mutungi ajitokeze hadharani kubainisha iwapo yeye ndiye aliyemtuma msaidizi wake, Sistyl Nyahoza kutangaza kuwa mwenyekiti wake, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu, Dk Willibrod Slaa hawana sifa ya kugombea uongozi ndani ya chama hicho kutokana na kuzuiwa na katiba ya Chadema.