WENYEJI Brazil wameitoa Chile kwa penalti 3-2 katika mchezo wa hatua ya
16 Bora Kombe la Dunia mjini Uwanja wa Belo Horizonte, kufuatia sare ya
1-1 ndani ya dakika 120.
Katika hali ya kushangaza, mwanamke
mmoja aliyefahamika kwa jina la Asnath Terevaeli hivi karibuni aliamua
kukabidhi kanisani shanga za majini kwa kile alichodai kuwa, zimekuwa
zikimtesa na kumfanya akose amani.
Watu
watatu wamekufa na wengine kumi wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa
wakisafiria aina ya Noha kupasuka tairi ya nyuma na kubingirita mara
tatu katika kijiji cha Januka manispaa ya Singida.
Licha ya
kukabiliwa na marufuku ya FIFA ya miezi minne kwa kumng'ata mlinzi wa
Italia Giorgio Chiellini Barcelona ya Uhispania haijakata tamaa ya
kumsajili mshambulizi machachari wa wa Uruguay Luiz Suarez.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Stori: WAANDISHI WETU HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa!
Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na
mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana,
Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kijana
mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 28-30 ambaye hajafahamika
jina lake wala makazi ameuawa na wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira kwa
tuhuma za wizi katika mtaa wa Muhongolo wilayani Kahama mkoani
Shinyanga.
UMEKUCHA! Unaweza kusema kwa maana nyingine wakati
wasanii kutoka Afrika watakapokuwa pamoja kwenye Ukumbi wa Nokia Theatre
uliopo Los Angeles, Marekani katika sherehe za utoaji tuzo za BET 2014
kesho Juni 29. Macho na masikio yote yameelekezwa kwa mtu mmoja kutoka Tanzania ambaye ni Nasibu Abdul ‘Diamond Plutnumz’.
“Eeh
Mungu sikia kilio changu unisaidie!” Ndivyo alivyoanza kusimulia mtoto
Salum Kassim (16), mkazi wa Kilimahewa-Tandika, Dar, ambaye ameteseka
kwa muda wa miaka minne (siku 1440) akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY Kwa taarifa tulizozipata hivi punde
ni kwamba ‘wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) wanajiandaa
kuandamana kushinikiza kupewa hela zao za mafunzo kwa vitendo’ mtoa
taarifa amesema chuo ilishapokea pesa hizo tangu wiki mbili zilizopita
lakini mpaka sasa bado wanafunzi hawapewa KUSAINI pesa hizo. Na ukisoma