Wednesday, 18 June 2014

ANGALIA TIMETABLE YA LIGI KUU YA UINGEREZA 2014/2015,ITAKAYOANZA 08/16/2014

Share:

ANGALIA MAGAZETI YA LEO'MWANANCHI,MTANZANIA,TANZANIA DAIMA,MAJIRA,NIPASHE NA MENGINE MENGI HAPA

1_5597b.jpg
2_b5590.jpg
3_c77d9.jpg
Share:

ANGALIA MAJINA YA WAVULANA WANAOENDA FORM V,KUANZIA A-L



S/NEXAM NO.JINA LA MWANAFUNZISHULE ATOKAYOSHULE AENDAYOMASOMO
1S2332/0019David  Kemhe Aaron Harris Mwika EGM
2S2332/0024Nelson  Luziga Aaron Harris Azania PCM
3S2332/0026Venance Partson Edward Aaron Harris Magu PCB
4S3470/0001Abdul-aziz Hamisi Mputeni Abbey Mtwara Tech PCM
5S3470/0002Augustino Albert Mlangira Abbey Pugu PCM
6S3470/0003Barnabas Modest Missana Abbey Moshi Tech PCB
7S3470/0004Benard Beneth Nkabalema Abbey Lugoba PCM
8S3470/0005Boubleen Gabriel Ndekemio Abbey Pugu PCB
9S3470/0006Brian Dastan Meela Abbey Azania ECA
10S3470/0007Charles Rashidi Madeni Abbey Mtwara Tech PCM
11S3470/0008Chilavi Hamisi Chilavi Abbey Kahororo EGM
12S3470/0009Christopher Ezekiel Sizya Abbey Kigonsera PGM
13S3470/0010Cornel Alico Mwakalobo Abbey Nyerere  Migoli EGM
14S3470/0011Daudi Julius Kamata Abbey Kibaha PCM
Share:

Tuesday, 17 June 2014

HAYA HAPA MAJINA YA WASICHANA, NA WAVULANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014

YAFUATAYO NI MAJINA YA WASICHANA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2014
Share:

SELECTION KIDATO CHA TANO ZATANGAZWA ,WANAFUNZI 54,085 WACHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2014

Naibu Waziri Tamisemi, Kassim Majaliwa

Wanafunzi 54,085 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano mwaka huu wa 2014, taarifa hii imetangazwa na N/Waziri tamisemi (Elimu) Kassim Majaliwa leo. Wanafunzi wote wanatakiwa kuripoti tarehe 10 Julai, 2014.
Share:

MWANAMAMA HUYU ACHARANGWA MAPANGA BAADA YA KUVAMIWA NA KIJANA MMOJA,AMBAE NAE AUWAWA





Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Jumanne Joel(25-30) ameuawa na
Share:

TUMWONEE HURUMA BINTI HUYU KADAIWA KUBAKWA NA BOSI WAKE SIKU 4 MFULULIZO BAADA YA KUANZA KUFANYA KAZI

Mfanyakazi wa ndani, miaka 14 mkazi wa kijiji  cha Mdenge, Kata ya Likombe katika Wilaya ya Mtwara, amebakwa na mwajiri wake usiku wa kuamkia jana na kumsababishia maumivu makali na kisha kutokomea kusikojulikana.   
Share:

ANGALIA MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA SEKRETARIETI YA AJIRA DAR TAREHE 14-06-2014

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 14-06-2014
Wasailiwa waliochaguliwa kuendelea na usaili wa ana kwa ana wanatakiwa kufika muda, tarehe na mahali kama ilivyo onesha kwenye ratiba yetu ya usaili, wakiwa na vyeti halisi (ORIGINAL CERTIFICATES)
ACCOUNTANT GRADE II
EXAM NUMBER     SCORE REMARKS

PSRS-MDA-ACC-727    95    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-962    95    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-916    94    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-766    93.5    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-702    93    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-734    93    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-810    93    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-948    91    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-847    90    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-899    90    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-743    88    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-988    87    SELECTED
PSRS-MDA-ACC-779    85    SELECTED
Share:

NIGERIA NA IRAN SARE TASA,UJERUMANI 4 URENO 0,USA YAIBANIA GHANA 2-1



Nigeria yaridhika na sare tasa dhidi ya Iran
Timu ya Iran na Nigeria zilitoka sare ya suluhu bin suluhu , katika mechi yao ya kundi F huko Curitiba, kwenye fainali ya kombe la dunia siku ya Jumatatu.
Timu hiyo ya Carlos Queiroz ilionekana kuwa ngumu kushindwa tangu mwanzoni.
Share:

BREAKING NEWZ:SHAMBULIZI JINGINE LAKUMBA MPEKETONI

Shambulizi lengine limetokea katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu , pwani ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 10.
Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyowaua watu 50 Jumatatu.
Polisi wanasema kuwa washambuliaji hao walivamia kijiji kimoja usiku kucha.
Kundi la Al Shabaab lilikiri kufanya mashambulizi hayo na kua
Shambulizi lengine limetokea katika eneo la Mpeketoni karibu na Lamu , pwani ya Kenya na kusababisha vifo vya watu 10.
Shambulizi la leo limetokea siku moja tu baada ya Al Shabaab kukiri kufanya mashambulizi yaliyowaua watu 50 Jumatatu.
Share:

MKUU WA MKOA TANGA MGENI RASMI MISS TANGA 2014


55ebTanga-regional-commissioner-Chiku-GallawaMkuu wa Mkoa wa Tanga, Luteni Mstaafu Mheshimiwa Chiku Gallawa atakuwa mgeni rasmi katika shindano la kumsaka mrembo wa mkoa huo, Nice & Lovely Miss Tanga 2014 siku ya jumamosi tarehe 21/06/2014, shindano ambalo litafanyika Mkonge Hotel.
Share:

N/ WAZIRI KITWANGA ATEMBELEA BWAWA LA MTERA

Share:

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI

 DSC00207MTU MMOJA ALIYEFAHAMIKA KWA JINA LA GODFREY MMBENA (22) MKAZI WA MTAA WA MWAKA – TUNDUMA ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYAAKIWA NOTI BANDIA 23 ZA TSHS 10,000/=.
Share:

RAIS KIKWETE ATOA AHDI KUWALETA TREY SONGZ NA USHER RAYMOND NEXT MONTH


Rais Kikwete na baadhi ya wasanii
Rais Kikwete anatarajia kuwaleta nchini wanamuziki maarufu wa Marekani Usher Raymond na Trey Songz mwezi ujao yaani July.
VIDOE
Share:

WANAWAKE WA VIGOGO WADAI KUFANYISHWA NGONO NA WAGANGA WA KIENYEJI,NI WAKE WA VIGOGO GANI,SOMA HAPA.


IMEBAINIKA kuwa miongoni mwa wale wanawake 20 waliodai kufanyishwa ngono na waganga wa kienyeji ‘sangoma’ ili kupata ujauzito  baada ya kukaa  muda  mrefu  bila watoto,  wamo wake wa vigogo Bongo, Uwazi limechimba.
Kamanda Kiondo akielezea kuhusu uhalifu wa Sangoma walionaswa kwa kufanya ngono na wake wa vigogo.
Share:

SOMA MAGAZETI YALEO JUMANNE'MWANANCHI,MTANZANIA,NIPASHE,MAJIRA,TANZANIA DAIMA,TAZAMA TANZANIA,BINGWA SPORT,MWANASPORT NA DIMBA"

1_56d71.jpg
02_b6006.jpg
Share:

TUMWONEE HURUMA MTOTO HUYU KAPATA MATESO KWA SIKU 730

SIKU 730 au miaka miwili ya unyama na ukatili uliombatana na vipigo mfululizo, vimempa wakati mgumu katika maisha mtoto wa miaka 15, Melina aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea  kijijini Ishozi- Kiziba, Kagera kwa lengo la kufanya kazi za ndani, yaani ‘hausigeli’.
Mtoto Melina wa (15) aliyefika katika Jiji la Dar es Salaam mwaka 2012 akitokea kijijini Ishozi- Kiziba, Kagera kwa lengo la kufanya kazi za ndani, yaani ‘hausigeli’ akiwa amejeruhiwa vibaya na bosi wake anayefahamika kwa jina moja la Yasinta.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger