Wednesday, 11 June 2014
FANYA MAMBO HAYA UKIJUA UMESALITIWA

KATIKA MAISHA YA KIMAPENZI HAKUNA KITU KINACHOUMA KAMA KUSALITIWA, TENA KUSALITIWA KUNAKOUMA ZAIDI NI PALE UNAPOBAINI MPENZI WAKO KAMPA PENZI MTU UNAYEMJUA HALAFU UKIJILINGANISHA WEWE NA HUYO ALIYEPEWA UNASHINDWA KUELEWA KILICHOMSHAWISHI MPENZI WAKO KUMPA PENZI HUYO MTU.
VANITTA AAMUA KUOLEWA BAADA YA VIFO VYA WASANII KUZIDI
MSANII Vanitha
Omary aliyeolewa hivi karibuni, amesema vifo vya mfululizo vya wasanii
wenzake vimemlazimu kuondoka katika fungate ili ashirikiane na wenzake
katika shughuli za misiba.
Tuesday, 10 June 2014
UTARATIBU WA KUJIUNGA NA JESHI LA KUJENGA TAIFA'JKT'

TANGAZO
JESHI LA KUJENGA TAIFA (JKT) LINAUTANGAZIA UMMA KUEPUKANA NA MATAPELI WANAOCHUKUA FEDHA KWA LENGO LA KUWAPATIA VIJANA NAFASI ZA KUJIUNGA NA JKT. NAFASI ZA KUJIUNGA NA JKT HAZIUZWI POPOTE.FIFA WORLD RANKING TOWARDS FIFA WORLD CUP BRAZIL 2014
| Rnk | Team | Pts | +/- Pos | ||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | Spain | 1485 | 0 | ||||
| 2 | Germany | 1300 | 0 | ||||
| 3 | Brazil | 1242 | 1 | ||||
| 4 | Portugal | 1189 | -1 | ||||
| 5 | Argentina | 1175 | 2 | ||||
SUA:UCHAGUZI MKUU CHUO KIKUU CHA SOKOINE(SUA) MOROGORO,VIJANA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU.

Zikiwa zimebakia siku 9 kuelekea uchaguzi wa serikali ya wanafunzi sua,baadhi ya vijana wameonekana wakichukua fomu za uongozi wa nafasi mabalimbali;zikiwemo nafasi za ubunge na urais wa chuo.
Uchaguzi huo utahusisha kampasi mbili MAZIMBU na MAIN CAMPUS.
WABUNGE WACHARUKA PICHA CHAFU KWENYE MITANDAO'WEMA NA DIAMOND' WAHUSISHWA
Sakata
la kusambaa picha zisizokuwa na maadili mitandaoni zikiwemo za watu
maarufu hapa nchini leo limezungumziwa tena katika bunge la Tanzania
kule Dodoma ambapo katika kipindi cha maswali na majibu Mhe. Habib Mnyaa
ameonekana akihoji serikali inachukua hatua gani juu ya watu wanaotuma
picha zao zisizo na maadili mitandani zikiwemo za kina Wema na Diamond
wanazopiga wakiwa chumbani na kuweka kwenye mitandao.
'MZEE SMALL' AZIKWA AACHA LAANA-SOMA HAPA NI NINI
HATIMAYE aliyekuwa nguli wa sanaa za maigizo Bongo, Said Ngamba ‘Mzee Small’ amezikwa jana katika Makaburi ya Tabata-Segerea jijini Dar es Salaam huku akiacha laana kwa tasnia ya maigizo.
Mzee Small alifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako alilazwa akisumbuliwa na…

MTAZAME KIJANA HUYU ALICHUKULIWA MSUKULE -MARA
MBUNGE MCHUNGAJI MSIGWA:' KWA NILIYOYAFANYA SIHITAJI KAMPENI\
IRINGA ni miongoni mwa mikoa ambayo siku za nyuma ilikuwa ni tegemeo la chakula kwa taifa letu, ikiwa ni mojawapo ya iliyounda kitu kilichoitwa Big Four, kwa uzalishaji wa chakula, mingine ikiwa ni Mbeya, Ruvuma na Rukwa.
Lakini katika miaka ya hivi karibuni, uzalishaji huo umekuwa ukishuka, jambo linalosababishwa pamoja na mambo mengine, mabadiliko ya hali ya hewa na usimamizi mbaya wa viongozi wa vijiji katika kuhimiza ukulima wa kisasa, matumizi ya mbolea na kadhalika.










