
kweli dunia ya urembo lakin hii lol...this is too much...

atimaye
picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es
Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo
mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa
vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400
ya sasa mpaka Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.