Na John Dotto
Mbunge
wa jimbo la Nzega Mkoani Tabora kupitia CCM, Hamis Kigwangala,
ametanabaisha kuwa anatafakari kama anaweza kugombea Urais kwenye
uchaguzi mkuu ujao kupitia chama cha mapinduzi CCM.
Akijibu
maswali ya waandishi wa habari waliotaka kujua fununu zilizo enea kwenye
baadhi ya mitandao ya kijamii ambayo imekuwa ikiibua mijadala mara kwa
mara inayomshawishi kugombea...
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishuka kutoka kwenye ndege ya
kampuni ya Flightlink kwenye uwanja wa Ndege wa Zanzibar baada ya kukaa
angani kwa dakika 20 zaidi ya muda uliopangwa kutokana na hali ya hewa
kuwa mbaya na mvua kubwa kunyesha.Katibu Mkuu amewasili Zanzibar...
Bunge la
bajeti linaanza kesho huku Serikali ikiwa imetoa mwelekeo wa bajeti ya
mwaka wa fedha wa 2014/15 kuwa ni Sh19.6 trilioni, ikilinganishwa na
Sh18.2 za Bajeti iliyopita.
Vipaumbele
vya bajeti hiyo ni kuendeleza Mpango wa Maendeleo wa Miaka Mitano
ulioanza mwaka 2011 na Mpango wa Matokeo...
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa hayupo tayari kuzaa tena nje ya ndoa mpaka atakapoolewa.
Msanii wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’.
Akistorisha na paparazi wetu, Jini Kabula alisema hawezi kurudia tena
...
Mwanamuziki
wa kizazi kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amebadilisha jina la Hoteli
yake mpya anayotarajia kuifungua maeneo ya Mwananyamala, awali jina la
Hoteli hiyo aliiita Chuna Buzi Hotel lakini baada ya ushauri sasa anaipa
jina la Igunga One Restaurant.“Nimeamua
kubadili jina baada ya kushauriwa...
Mtoto AMISA MALEBHI(miaka 2 na miezi sita)ambaye ana matatizo ya jicho la
kushoto anahitaji msaada wa kupelekwa hospitali ya KCMC Moshi kwa ajili
ya matibabu kwa atakayeguswa anaweza kuwasiliana na mama yake mzazi
TAUSI HAMISI mkazi wa Ufuluma wilaya ya Uyui mkoani Tabora....Mtoto...
mtoto wa kike shanga njenje!! huku akiwa mtupu.. utamu wote ukiwa njee
maadili ya kitanzania yanapotea au ndo yanajengeka ,hebu cheki video hii kwanza
Kutokana na maadili tumeshidwa kuiweka video hii ;;;
<<KUANGALIA VIDEO HIYO WATANZANIA WAKIMWAGA RADHI LIVE BOFYA ...
Sikutaka tena mtu akae na kuniambia kuhusu eti nitulie au niwe na mtu nimwitaye mpenzi wangu au mke mtarajiwa. Hebu fikiri mtu unapigiwa simu na kuambiwa kuwa binti uliyempenda na kukaa naye kwa zaidi ya miaka mitatu na mkitarajia kuanza
mipango ya kukaa wawili na mahaba...
Katika hali ya kusikitisha na kutia
simanzi, mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi Kalangalala
mjini Geita aitwaye Magreth Kervini(8) amebakwa na kufungwa nguo
mdomoni na sehemu za siri kisha kunyongwa shingo hadi kufa na kutupiwa
uvunguni mwa kitanda usiku...
Kwanza
Hongera sana kwa kushinda Kili Awards.Hii ni zawadi nzuri unayoweza
kupata baada ya Jitihada,Kujituma, na Burudani nzuri kwa washabiki
wako.Mungu akujalie mema zaidi ya hapo.Hongera sana Platnumz....
Fid Q akiwa katika pozi
la picha na tabasamu la ukweli baada ya mwana Hip hop bora Tanzania.
Diamond akitoa machache
baada ya kupata Tuzo
Kikundi cha Weusi
wanaotamba na wimbo wa Gere nao hawakuziachia tuzo hivi hivi.
Background
Kilimanjaro Music Awards ni tuzo zinazotolewa kila mwaka...
Lady jay Dee akiwa jukwaani.
Mashabiki wakifuatilia shoo hiyo.
Roma mkatoliki na Baghdaddy wakifanya makamuzi.
Profesa Ludigo (Kulia) akiwa na Nikki Mbishi.
Gadner akiwa na Profesa Jay.
Wasanii wa Bongo Movie wakishauriana jambo.
Patricia Hillary akiwa jukwaani kutoa shoo.
Shabiki akimtuza...