Sunday, 6 July 2025

NILISHINDWA KUJIFUNGA VIATU KWA TUMBO KUBWA LAKINI BAADA YA DAWA HII YA ASILI, WATU HUNIPITA WAKIDHANI MIMI NI MWANAFUNZI WA SEKONDARI

...


Nilikuwa nimezoea watu kunishangaa kila nilipoingia kwenye daladala au sehemu yenye viti vya plastiki. Wengine walifanya mzaha, wengine walinicheka, lakini wengi waliongea kwa sauti ya chini kana kwamba siwezi kusikia.

Ukweli ni kwamba nilikuwa na uzito kupita kiasi. Tumbo langu lilining’inia mpaka hata kujifunga viatu ilikuwa kazi nilihitaji kukaa kwenye kitanda, kuinama kwa muda mrefu huku nikivuja jasho. Na hata hivyo, viatu vingine nilivivaa tu bila kufunga.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger