
Mratibu wa kitaifa wa Shirika la watetezi wa haki za binadamu Onesmo Olengurumwa akifungua mafunzo hayo
Na Christina Cosmas, Morogoro
WATETEZI wa haki za binadamu wamesisitizwa kuhakikisha wanapata elimu za mara kwa mara ili kukabiliana na changamoto za mbinu chafu za mikakati ya ukiukwaji wa...