Wednesday 29 November 2023

BASI LA ALLY'S LAGONGA TRENI MANYONI... WATU KADHAA WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA

...

 

Watu kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya Basi la Ally's lenye namba za usajili T.178 DVB lililokuwa likitokea Jijini Dar es salaam kwenda Jijini Mwanza baada ya kugonga Treni za mizigo maeneo ya Manyoni  leo  Novemba 29,2023 majira ya Saa 11 alfajiri
Picha na Marco Maduhu

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger