
Mwaka 2024 Punguza Mazowea na Watu Ulinde Heshima Yako!
Denis Mpagaze
_______________________
Usiruhusu watu wakuzoee sana, wakikuzoea watakuona wa kawaida, wakikuona wa kawaida watakudharau, wakikudharau, watakuharibia.
Siku zote anayekuharibia ni aliyekuzowea, anayekujua sana, anakuona...