BS- Africa Water Filters imekusogezea karibu ndoo maalumu za kuchujia maji ya kunywa majumbani ambapo kulazimika kuchemsha maji.
Ndoo (filters) hizi hazitumii umeme, hazitumii kemikali wala dawa, zinachuja maji na yanakuwa safi na salama. Ndoo hizi ni rahisi kuzitumia na ni rafiki kwa mazingira.
0 comments:
Post a Comment