Thursday, 15 October 2020

MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA SULUHU AMWAGA SERA ZA CCM CHUNYA MBEYA...AOMBA KURA ZOTE ZIENDE CCM

...

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa CCM Mama Samia Suluhu Hassan Leo Oktoba 15, 2020 ameunguruma Wilayani Chunya Mkoani Mbeya Kwenye Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni ya Kunadi Sera na Ilani bora na ya Maendeleo ya CCM. Mama anaongea na Watanzania kutoa kura Zote kwa CCM na kuacha kabisa kuchanganya mambo kuchagua wapinga maendeleo.
#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM 


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger