Wednesday 28 October 2020

PICHA: Rais Dk.Shein Amepiga Kura Yake Leo Kituo Cha Kupigia Kura Skuli Ya Bungi Wilaya Ya Kati Unguja

...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika foleni akisubiri zamu yake kwa ajili ya kupiga kura yake kuwachagua Rais wa Zanzibar,Rais wa Tanzania  Mbunge.Mwakilishi na Diwani , akiwa katika Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya Bungi Wilaya ya Kati Unguja.leo 28/10/2020.
 MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein  wa tatu akiwa katika foleni akisubiri zamu yake kwa ajili ya upigaji wa kura katika Kituo cha kupigia Kura Skuli ya Bungi Wilaya ya Kati Unguja



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger