Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Kesho Jumamosi Oktoba 17, 2020 ataongea na Waandishi wa Habari Kutoka Ofisi ndogo ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 8 Mchana. Hii ni Ngwe ya Sita, ya lala salama na ya Mwisho ya Kampeni za CCM Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28
Friday, 16 October 2020
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Kesho Jumamosi Oktoba 17, 2020 ataongea na Waandishi wa Habari
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Humphrey Polepole Kesho Jumamosi Oktoba 17, 2020 ataongea na Waandishi wa Habari Kutoka Ofisi ndogo ya CCM (OND) Lumumba Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 8 Mchana. Hii ni Ngwe ya Sita, ya lala salama na ya Mwisho ya Kampeni za CCM Kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 28
0 comments:
Post a Comment