Jumamosi Julai 18,2020 : Muonekano wa majengo ya Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' inapatikana Lubaga Mjini Shinyanga karibu na Ikulu pembezoni mwa Barabara ya Old Shinyanga.
SHY PARK HOTEL itafunguliwa rasmi Rasmi mwezi Agosti 2020,ambapo Uongozi wa SHY PARK HOTEL Julai 18,2020 umefanya usaili kwa watu waliosomea na wenye uzoefu wa Masuala ya Usimamizi wa Hoteli na unaendelea kufanya maandalizi kabambe tayari kabisa kwa uzinduzi rasmi ya SHY PARK HOTEL mwezi ujao.
Miongoni mwa Huduma zinazopatikana SHY PARK HOTEL ni malazi ,vyakula, vinywaji, kumbi za sherehe/harusi na mikutano, Swimming pool kwa watoto na watu wazima, michezo mbalimbali ya watoto, Sauna, Massage, Gym, Car wash, Car Parking n.k
Kwa Mawasiliano zaidi piga simu namba 0621288344, Whatsapp namba 0759096494
Au Email info@shypark.co.tz
Jumamosi Julai 18,2020 : Muonekano wa majengo ya Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu SHY PARK HOTEL. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wananchi kutoka ndani na nje ya mkoa wa Shinyanga walioomba nafasi za kazi SHY PARK HOTEL wakisubiri kufanyiwa usaili/Interview Julai 18,2020.
Muonekano wa majengo ya SHY PARK HOTEL
Muonekano mandhari ya SHY PARK HOTEL
Muonekano mandhari ya SHY PARK HOTEL
Muonekano majengo SHY PARK HOTEL
Muonekano mandhari ya SHY PARK HOTEL
Muonekano majengo ya SHY PARK HOTEL
Muonekano mandhari ya SHY PARK HOTEL
Muonekano majengo ya SHY PARK HOTEL
Muonekano wa majengo ya Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu SHY PARK HOTEL
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
0 comments:
Post a Comment