Friday, 10 July 2020

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Wa Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.

...
Rais Magufuli amemteua Gabriel Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Julius Mashamba.


Kabla ya uteuzi Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali.

Aidha, Rais Magufuli amemteua  Boniface Luhende kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Malata.


Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger