Wednesday, 22 July 2020

PROF PATRICK NDAKIDEMI AONGOZA KURA ZA MAONI JIMBO LA MOSHI VIJIJINI

...
Prof Patrick Ndakidemi ameibuka mshindi katika mchakato wa kura za maoni  Jimbo la Moshi Vijijini  kwa kupata kura 262 akifuatiwa na Deogratius Mushi aliyepata kura 46
huku mshindi wa tatu akiwa ni Moris Makoi  aliyepata kura 35.
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger