Friday, 17 July 2020

KADA WA CCM KASHI SALULA GACHA AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI

...

Kada wa Chama Cha Mapinduzi Kashi Salula Gacha leo Ijumaa Julai 17,2020 amerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge  katika Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.
Mjasiriamali Kashi Salula Gacha akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya Kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichukua fomu ya kuomba ridhaa ya kupitishwa na chama chake kugombea Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini kutoka kwa Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu Jumatano Julai 15,2020.

Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger