Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, kuwa na kitambi ni lugha ya mwili ( body-language ) inayo leta ujumbe kwako kwamba “ Mwili wako haupo salama tena “
Kama una kitambi maana yake una mafuta yasiyo hitajika mwilini. Mwili wako unatumika kuhifadhi mafuta usiyo yahitajika.
Hali hii kitabibu imaanisha kwamba, ogani nyinginezo zilizomo ndani ya mwili wako zinao gelea kwenye mafuta( fats ) yasiyo hitajika yaliyomo ndani ya mwili wako, jambo linalo kuweka katika hatari kubwa sana ya kushambuliwa na magonjwa hatari kama vile shinikizo kubwa la damu, matatizo katika moyo, kiharusi na kisukari na kwa kutaja machache.
Hivyo basi ili kuondokana na hatari hiyo, yakupasa kupambana kuondoa hayo mafuta yasiyo hitajika mwilini mwako.
Kusoma zaidi tembelea :
0 comments:
Post a Comment