Friday, 17 July 2020

FRANCIS GILYA KASILI AREJESHA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE SHINYANGA MJINI KUPITIA CCM

...

Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Francis Gilya Kasili akirejesha fomu ya kuomba ridhaa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Shinyanga Mjini  kwa Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Agnes Bashemu leo Ijumaa Julai 17,2020 katika ofisi za CCM wilaya ya Shinyanga Mjini. Picha zote na Kadama Malunde -Malunde 1 blog
Share:

Related Posts:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © 2025 MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger