Wakikuambia ‘Infinix the future is now’ wanamaanisha haswa katika msimu huu wa sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya kampuni ya simu ya Infinix kupitia promotion ya DECEMBER TO REMEMBER KISHUASHUA washindi zaidi ya 10 kukadhiwa zawadi kwa kila wiki.
Na hii ni baada ya ujio wa Infinix S5 simu yenye selfie kali ya 32MP na muonekano wenye kuvutia na kioo kikubwa chenye kukupa nafasi kubwa zaidi ya kuview files kwa ukaribu zaidi kinachofahamika kama O-Diplay.
Fika sasa katika maduka yao yenye promotion jipatie Infinix S5 na wewe uwe miongoni mwa washindi mbalimbali kama vile Vacuum Cleaner, Deep flyer, Subwoofer Radio, ticket za movie, shopping vocha na coupon za chakula.
0 comments:
Post a Comment