
x
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Peter Kakamba, amefariki dunia
usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua maradhi ya tumbo, Jeshi la Polisi
limethibitisha.
Akizungumza na Mwananchi Digital, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa
Singida, Mayala Towo amesema Kamanda Kakamba amefia hospitali...