INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
HATIMAYE wakuu wa Mikoa yote nchini
wametii agizo la Rais John Magufuli lilokuwa linawataka wasilishe ripoti
ya idadi ya watumishi hewa kwenye mikoa husika.
Wakuu hao wa mikoa wapya wamewasilisha
ripoti za watumishi hao leo Jijini Dar es Salaam,Waziri wa Nchi,Ofisi ya
Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Georgy Simbachawene ili
kuchukuliwa hatua za kisheria ...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
KUNA TAARIFA ZINAENEA KWA KASI MITANDAONI KUHUSU SERIKALI KUTO KUWAPOKEA
WASOMI WENYE CHETI ZAIDI YA KIMOJA KATIKA AJIRA..UJUMBE WENYEWE
UNAMUHUSISHA WAZIRI SIMBACHAWENE NA UKISOMEKA HIVI:-
Waziri Simbachawene ametoa tamko la serikali
kuwa , Serikali ya Jamhuri Ya...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais John Magufuli, ambaye amejipa kazi ya “kutumbua majipu”, sasa
anaweza kufanya kazi yake vizuri zaidi baada ya kukabidhiwa ripoti tano
na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ambazo anaweza
kuzitumia kama kitendea kazi.
Tangu aingie Ikulu, Rais...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Kikosi kazi maalumu cha kuchunguza makosa makubwa ya kihalifu kimewatia
mbaroni vigogo wawili wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wakihusishwa na
utoaji wa kibali cha kusafirisha tumbili 61 kwenda nchini Albania.
Maofisa
hao ni Mkurugenzi wa Idara ya Matumizi Endelevu...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein amemteua
Balozi Seif Ali Idd kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa visiwa hivyo.
Kwa
mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu cha 39 (2) cha Katiba ya
Zanzibar ya mwaka 1984, Dk Shein amemteua Balozi Idd...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
Usiku wa tarehe 27, ulipambwa na Show ya Instagram Party kwa upande wa
Mwanza 88.1, mastaa kadhaa wa Tanzania walikuwepo kunogesha Party kutoka
Bongo movie Wema Sepetu, alikuwepo na kundi la Weusi liliwakilishwa na
Joh Makini pamoja G nako.Party imefanyika Rock City...