Tuesday 10 February 2015

TANGAZO LA KUONGEZWA MUDA WA KUTUMA MAOMBI YA MAFUNZO YA STASHAHADA YA UALIMU KWA MWAKA WA MASOMO 2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(Ndugu wasomaji wetu wa blog hii ya MASWAYETU tunaomba support yenu kwa kutangaza nasi kwenye blog kwa bei nafuu ili tuweze kuendelea kutoa habari bila tatizo lolote,tutaweka tangazo lako bure kwa siku tano baada ya hapo tunaweka mkataba kama utaridhika,Tafadhali wasiliana nasi kwa kupiga namba 0768260834 au 0653791475) pia like our facebook page here https://www.facebook.com/pages/MATUKIO-YA-WANAVYUO/495944367193545       
                                                  

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi  (NACTE) linapenda kuwataarifu wananchi kuwa limeongeza muda

 wa kutuma maombi ya Mafunzo ya Stashahada ya Ualimu, awamu ya pili hadi tarehe 28 Februari  
2015. Baada ya tarehe hiyo, majina ya waombaji watakaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya Stashahada 
ya Ualimu awamu ya pili yatatangazwa mwanzoni mwa mwezi Machi 2015 kwenye tovuti ya Baraza ambayo
 inaonekana katika Tangazo hili.
Watu wote wenye sifa za kujiunga na mafunzo haya wanaombwa kuitumia fursa hii muhimu kama
 inavyoelekezwa kwenye tovuti ya Baraza: www.nacte.go.tz

Imetolewa na;

Katibu Mtendaji
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE)
Tarehe 10/2/2015
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger