Friday 20 February 2015

MPYA:NACTE YAFUTIA USAJILI BAADHI YA VYUO VINAVYOTOA FANI MBALIMBALI HAPA TANZANIA,ANGALIA VYUO HIVYO VILIVYOFUTIWA USAJILI NA AMBAVYO VIMEPEWA SIKU 30

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
1 BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE) NOTISI YA SIKU 30 YA KUSUDIO LA KUFUTA USAJILI NA KUSHUSHA HADHI YA USAJILI KWA VYUO/TAASISI ZA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI Utangulizi Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya
Bunge Namba 9 ya Mwaka 1997, kwa lengo la kusimamia na kuratibu taaluma zitolewazo na taasisi na vyuo vya elimu ya ufundi nchini, ambavyo siyo vyuo vikuu au vyuo vikuu vishiriki. Jukumu kubwa la Baraza ni kuendeleza na kuinua ubora wa elimu ya ufundi nchini kwa kusimamia kikamilifu shughuli za uendeshaji mafunzo ili tuzo zitolewazo na vyuo ziwe na ubora unaokubalika kitaifa na kimataifa. Notisi Kwa kutumia Sheria na Kanuni za Baraza [National Council for Technical Education (Registration of Technical Institutions) Regulations, 2001 na National Council for Technical Education (Accreditation and Recognition of Technical Institutions) Regulations, 2001 Baraza linatangaza kwamba linatoa notisi ya siku 30 kwa vyuo/taasisi ziilizokiuka taratibu za Usajili na Ithibati zifuatazo: 
BONYEZA HAPA KUANGALIA MAJINA YA VYUO HIVYO
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger