Wednesday 8 October 2014

Tangazo kwa Wanafunzi wa Stashahada Maalumu ya Ualimu wa Masomo ya Sayansi na Hisabati

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
        
slide5
Mabadiliko ya tarehe ya kuanza masomo:
Chuo kikuu cha dodoma kinawatangazia wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na stashahada ya ualimu wa masomo ya sayansi na hisabati kuwa, wanatakiwa kuripoti chuoni hapa tarehe 8 Novemba, 2014.
Wanafunzi hawa ni wale tu waliodahiliwa kupitia baraza la taifa la elimu ya ufundi (NACTE).

Mapokezi ya wanafunzi hawa yatafanyika katika jengo la utawala la chuo cha sanaa na lugha  (college of humanities and social sciences), chuo kikuu cha dodoma tarehe tajwa hapo juu kuanzia saa mbili kamili asubuhi.
------------------------------------------------------
Imetolewa na:
Ofisi ya Naibu Makamu Mkuu wa Chuo (Taaluma, Utafiti na Ushauri)Chuo Kikuu cha Dodoma
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger