Wednesday 1 October 2014

BREAKING NEWZ:JIPATIE JOINING INSTRUCTIONS ZA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA. MWAKA WA MASOMO 2014/2015,PIA SOMA TAARIFA MUHIMU KUHUSU JOINING ZA UDOM KWA WALIOCHAGULIWA DIPLOMA MIAKA MITATU.

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                  
Habari yenu wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG kama ilivyo kawaida yetu kuwapasha habari zinazowahusu kwa ukaribu zaidi kama vile elimu n.k leo tumewaletea Joining instruction za vyuo vya ualimu ngazi ya stashahada kwa elimu ya wali na msingi,Tafdhali pta joining yako kabla ya siku ya kufungua chuo ambayo ni tarehe 6/10/2014.
Maswayetu blog tunaendela kutoa huduma kawa wale wote mtakaotaka kutumiwa joining hizo kwa njia ya email,please fanya yafuatayo;
1.TUMA EMAIL YAKO KWENDA NAMBA 0768260834
    mfano:innocentbloggerboy@gmail.com(taja jina la chuo chako).

2.Huduma hii utatozwa tshs.1000 tu ambayo utaituma kwa mpesa kwenda namba 0768260834.
3.Tafadhali usipige simu,tutajibu sms zote 

4.ADMISSION LETTERS FOR DEGREE PROGRAMMES & SPECIAL PROGRAMMES DIPLOMA IN SCIENCE, 

MATHEMATICS AND ICT EDUCATION WILL BE AVAILABLE FOR DOWNLOAD FROM THURSDAY 02/10/2014 FROM 16:00
Kuangalia majina hayo tafadhali bonyeza hapo chini;

JOINING INSTRUCTIONS
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger