Thursday 2 October 2014

BREAKING NEEWZ:JOINING INSTRUCTIONS ZA UDOM SPECIAL PROGRAMME YA DIPLOMA SAYANSI NA HISABATI ZIMETOKA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
            slide1
BAADA YA KUSUBIRIA KWA MDA MREFU HATIMAE CHUO KIKUU CHA DODOMA KIMETOA JOINING INSTRUCTIONS ZA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA SPECIAL PROGRAMME YA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI 2014/2015.
KUTOKANA NA JOINING HIZO CHUO SASA KITAFUNGULIWA TAREHE 18 OCTOBER 2014.
Kama kawaida yetu MASWAYETU BLOG tupo hapa kutoa msaada kwa wale wote mnaohitaji HUDUMA yetu tutakutumia joining hiyo.
Ili kutumiwa joining hiyo fanya yafuatayo;
1.TUMA JINA LAKO KAMILI NA NAMBA YAKO YA FORM4
    mfano :MUSSA 
KWILASA(S0756/0002/2013) kwenda namba 
    0768260834
2.TUMA EMAIL YAKO KWENDA NAMBA 0768260834
3.TUTAKUTUMIA JOINING HIYO MARA TU

   TUTAKAPOPATA EMAIL YAKO NA MALIPO  YAKO.

4.HUDUMA HII UTATOZWA tshs.1000 tu ambayo utaituma kwa
   MPESA au AIRTEL MONEY kwenda namba 0768260834

     KUDOWNLOAD JOINING HIZO BONYEZA HAPO CHINI;



Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger