Saturday 11 October 2014

BREAKING NEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA VYUO VYOTE KWA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO 2014/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                        
Hatimae bodi ya mikopo Tanzania imetangaza majina ya wanafunzi wa elimu ya juu waliopata mikopo mwaka wa masomo 2014/2015 kwa vyuo vyote Tanzania.
MASWAYETU BLOG TEAM Inaendelea kutoa huduma kwa wale wote watakaotaka kuangaliziwa majina yao;endapo utahitaji huduma yetu tafadhali fanya yafuatayo;
1.tuma jina lako na exam number ,mwaka uliomaliza kwenda namba 0768260834 mfano.peter
   james(ANDIKA CHUO CHAKO)

2.Huduma hii itakugharimu tshs.1000 tu ambayo utaituma kabla ya
   kujibiwa kwenda namba 0768260834.

3.Kama unatumia tigo tuma kwa tigo pesa kwenda namba
   0653791475(usitume jina lako kwenye hii namba)

4.Tutakujibu ndani ya muda,nakuomba utuamini pia tumwombe
    mungu matatizo kama umeme usikatike au mtandao.


 NOTE:MASWAYETU BLOG TEAM NI MAKINI,WATENDAJI WAKE NI MAKINI HIVYO TUTAKUPA MAJIBU AMBAYO NI MAKINI,thanks.

Kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini;
ARU, HKMU, (IMTU),MUCCOBS, MERU,MUHAS,CUHAS, MUM,MZUMBE, OUT,RUCO,SAUT,SJUT,SUA ZANZIBAR,TU,TEOFILO, JOSIA KIBIRA,UDSM,MUCE,DUCE,ST.JOHN,ST.JOSEPH UDOM, ZU,ECKERN FORD ARU, HKMU, (IMTU),MUCCOBS,
MERU,MUHAS,CUHAS,
MUM,MZUMBE,
OUT,RUCO,SAUT,
SJUT,SUA
ZANZIBAR,TU,TEOFILO,
JOSIA KIBIRA,UDSM,MUCE,DUCE,ST.JOHN,ST.JOSEPH UDOM, ZU,ECKERN FORD
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger