Friday 24 October 2014

MPYA:ANGALIA HAPA MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MAHAFALI CHUO KIKUU CHA JORDAN-MOROGORO YALIVYOFANA

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

Mhitimu wa kozi ya shahada ya kwanza ya elimu, Theresia Mbilinyi akipongezwa na mama mkwe wake, Blandina Mbunda wakati wa mahafali ya pili ya chuo kikuu cha Mt Augustino Tanzania yaliyofanyika chuoni mkoani Morogoro, ambapo jumla ya wahitimu 547 wa kozi hiyo walihimu ikiwa ni idadi kubwa kuliko kozi zote

 
Wahitimu wa kozi ya shahada ya kwanza ya elimu wakifaa kofia mara baada ya kutunukiwa shahada hiyo wakati wa mahafalai ya pili ya chuo kikuu cha Mt Augustino Tanzania yaliyofanyika chuoni hapo mkoani Morogoro.ambapo jumla ya wahitimu 547 wa kozi hiyo walihimu.

Akiwa katika pozi na wenzake kabla ya kutunukiwa shahada hiyo.


Theresia akipongezwa na mumewe Emmanuel Mbunda.

Picha ya marafiki mbalimbali.
 


Akikatab keki

Kipengele muhimu baada ya tafrija iliyofanyika katika hoteli ya Arc mkoani Morogoro
Picha ya pamoja na familia zan pande mbili za mume na mke.
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger