Monday 8 September 2014

WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWA KA WA MASOMO 2014/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                          
                                                 
WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WAOMBAJI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO 
YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA YA JUU (MIAKA 3) MWA
KA WA MASOMO 2014/2015
MAELEKEZO:
Waombaji waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo ya Ualimu mwaka 
wa masomo 2014/2015 wanatakiwa kuripoti katika Vyuo waliv
yopangiwa tarehe 06/10/2014. Fomu za maelekezo (Joining 
Instructions) zitatolewa na chuo husika na zitatumwa kwa walio
chaguliwa tu. Waliochaguliwa wanatakiwa kufika vyuoni wakiwa
 na mahitaji yaliyoainishwa kwenye fomu ya kujiunga na Chuo. 
Aidha, fomu hizi zinapatikana pia kwenye Tovuti ya Wizara:
www.moe.go.tz; NACTE:www.nacte.go.tz; na 
TAMISEMI: www.pmoralg.go.tz
Muhimu:

1. Waombaji waliochaguliwa ni wale wenye ufaulu wa Daraja
 la I hadi III


2. Waliochaguliwa wanatakiwa kuwasilisha Vyeti halisi vya Baraza la Miti

hani la Tanzania Kidato cha NNE na SITA (CSEE na ACSEE) na vyeti
 vya kuhitimu Elimu ya Sekondari na Mafunzo ya Ualimu.
3. Ada ya mafunzo Stashahada ya Juu ni 600,000/= kwa mwaka (Muhula
 wa kwanza 300,000/= na muhula wa pili 300,000/=)
4. Wanafunzi watakaosajiliwa Chuoni ni wale waliopo kwenye orodha hii 
tu na SIYO vinginevyo, waweza pata orodha hyo kwa kufungua kiungan
ishi kimoja wapo hapo chini au kwa kutembelea mfumo wenye 
majina - bonyeza hapa

MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU SAYANSI & HISABATI
MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU ELIMU MAALUMU
MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA JUU LUGHA (KISWAHILI, ENGLISH & FRENCH)

MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA AWALI
MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA MICHEZO
MAJINA YA WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA STASHAADA YA KAWAIDA ELIMU YA MSINGI
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger