Thursday 25 September 2014

MABADILIKO YA TAREHE YA KUFUNGUA SUA:TAARIFA KWA WANAFUNZI WOTE WA SUA MWAKA WA PILI NA KUENDELEA MWAKA WA MASOMO 2014/2015,CHUO KITAFUNGULIWA TAREHE 20/10/2014 BADALA YA TAREHE 13/10/2014 MPE TAARIFA MWENZAKO

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
(maswayetu blog)
 Chuo cha SUA kimesogeza mbele siku ya kufungua chuo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza  na mwaka wa pili na kuendelea 2014/2015.
Taarifa hiyo imetolewa  tarehe 24 /09/2014 na kusainiwa na DEPUTY VICE ACADEMIC-DVC.Sasa chuo kitafunguliwa tarehe 13/10/2014 kwa 1st year na 20/10/2014 kwa wanaoendelea(2nd to 5th year)
TAFADHALI MPE TAARIFA MWENZAKO.
PIA SOMA HAPO CHINI BARUA KUTOKA KWA DVC WA CHUO HICHO,







Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger