Thursday 4 September 2014

BREAKING NEEEEWZ:HAYA HAPA MAJINA YA WALIMU NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA TAKRIBANI 12000 WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU 2014/2015.

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                             

 Habarri yenu tena wadau wa blog hii pendwa ya MASWAYETU EXCLUSIVE BLOG LEO TENA TUMEWALETEA majina ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo  vya ualimu mwaka wa masomo 2014/2015 .
Kama ilivyo kawaida yetu tutatoa huduma ya kuangalizia majina kwa wale wote mtakao hitaji huduma yetu,ili kuangaliziwa jina lako fanya yafuatayo:

1.Tuma jina lako na shule uliyomalizia.
2.Tuma tsh.800 kwa mpesa kama huna mpesa tuma kwa salio kwenda namba 0768260834.(pesa ya huduma)

3.Hatutajibu mtu ambaye hatatuma pesa.
4.Kama unatumia tigo,airtel au zantel tafadhali tafuta mtu mwenye voda utume pesa hiyo hatupokei vocha number.
5.Utajibiwa mda mfupi mara tu utakapotuma pesa yako.
6.endapo utamtumia namba hii mwenzako mwambie atume pesa ndo atajibiwa.

USIPIGE SIMU TAFADHALI HATUTAPOKEA SIMU YA MTU YOYOTE

Kuangalia majina hayo bonyeza hapo chini
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger