Wednesday 10 September 2014

HIZI HAPA JOINING INSTRUCTIONS KWA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA VYUO VYA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MWAKA WA MASOMO 2014/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY

                                                    
Habari yenu tena wadau wa blog hi pendwa ndani ya Tanzania na East africa kwa ujumla,leo tumewaletea JOINING INSTRUCTIONS za wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali vya ualimu ngazi ya stashahada 2014/2015.

Kama ilivyotangazwa na NACTE kuwa joining instructions zinapatikana katika website zinazoshahabiana(MOE,PMORALG&NACTE),tumeamua kuwarahisishia mambo watanzania waliochaguliwa vyuo vya ualimu.
Pia tumeamua kufanya hivi kutokana na kwamba form hizo ambazo zimetumwa kwenye masanduku yenu zinaweza zikachelewa au zisifike kwa wakati.
 MASWAYETU BLOG tunaendelea kutoa huduma kwa watanzania watakaotaka kutumiwa form hizo  unatakiwa ufanye yafuatayo;
1.TUMA EMAIL ADDRESS YAKO,KWENYE MABANO ANDIKA JINA LAA CHUO ULICHOCHAGULIWA, KWENDA NAMBA 0768260834. 
2.TUMA TSH.900 KWA MPESA KWENDA NAMBA 0768260834.(PESA YA HUDUMA)
3.SUBIRIA TUTAKUTUMIA JOINING INSTRUCTIONS YA CHUO ULICHOCHAGULIWA NDANI YA MASAA 24.
4.HUTAJIBIWA HADI UTUME PESA YA HUDUMA THANKS.
  NOTE:JOINING INSTRUCTIONS HIZI NI ZA LAST YEAR,HUWA HAZIBADILIKI MIAKA YOTE, ZAIDI YA TAREHE YA KUFUNGUA CHUO TU.
 DOWNLOAD JOINING INSTRUCTION HAPA

Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger