Saturday 20 September 2014

HII HAPA 2ND SELECTION YA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA ST.JOSEPH UNIVERSITY OF SCIENCE AND TECHNOLOGY 2014/2015

...
INNOCENT-THE BLOGGER-BOY
                                    
Habari yenu,kama ilivyo ada ya Blog yetu hii pendwa ya MASWAYETU,tumeona si mbaya kuwaletea majina ya wanafunzi mliochaguliwa chuo kikuu cha st.joseph,
HAYA NI MAJINA MAPYA KWA MAANA HIYO INAWAHUSU WALE WOTE PIA MLIOOMBA 2ND APPLICATION KUPITIA TCU,KUANGALIA JINA LAKO TAFADHALI BONYEZA HAPO CHINI;
 MAJINA MAPYA(1ST&2ND) YA WALIOCHAGULIWA ST.JOSEPH 2014/2015

Pia maswayetu blog tunatoa huduma ya kuangalizia majina kwa wale wote mtakaokuwa mnahitaji,tafadhali fanya yafuatayo;

1.Tuma jina lako kwenda namba 0768260834.mfano.JOHN MUSSA(ST.JOSEPH)
2.Huduma hii itakugharimu tsh.800 tu,ambayo utaituma kwa mpesa.
3.Pia tutatoa huduma za maswali kwa wale wote mtakaukuwa mnahitaji kuuliza.
4.KUTOKANA NA MASWAYETU BLOG KUWA MAKINI TUTAKUPA MAJIBU YAKO
   KIKAMILIFU NA KWA WAKATI,NDANI YA DK.4 TU UTAKUWA UMESHAJIBIWA.


MASWAYETU BLOG' A NEW HOPE FOR YOUR EDUCATION INFORMATIONS"
Share:

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger