Thursday 29 May 2014

MCHUMBA WA MTU AZIMIKA BARABARANI, POMBE YATAJWA


Msichana mmoja aliyetajwa kwa jina la Halima aliyedaiwa kuwa ni mchumba wa mtu, hivi karibuni alipata aibu ya aina yake baada ya kukutwa amezimika barabarani.
Share:

HOFU YATANDA WASAMARIA WEMA WAINGIA MITINI DHAMANA YA WAZAZI WA MTOTO WA BOKSI

HATIMAYE wale watuhumiwa wa mtoto anayedaiwa kufichwa kwenye boksi kwa miaka 4 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro kujibu mashitaka ya kula njama na kufanya ukatili dhidi ya mtoto Nasra huku watu waliotakiwa kuwawekea dhamana watuhumiwa hao wakiingia mitini.
Share:

THEY HAVE GONE TOO SOON! WAMEKWENDA MAPEMA MNO!



RECHO: Hapa ndipo atakapo anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!
RECHO: KUZALIWA 1988  KUFARIKI: 2014. UMRI: 26YRS…
Share:

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI WILAYANI BABATI LEO, AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI MANYARA

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana ukivuka katika mto Magara mapema leo asubuhi kuelekea wilayani Babati mkoani Manyara.Kinana ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,siasa na Uenezi Nape Nnauye,wakiwa kwenye ziara ya siku saba ya kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na kuzitafututia ufumbuzi.
Share:

SOMA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI

                                         1_69adb.jpg
2_ec565.jpg
3_a9bf2.jpg
Share:

TAZAMA MTO RUVU


Bagamoyo.
Share:

BAADHI YA MUVI ALIZOCHEZA MAREHEMU RECHEL HAULE


Marehemu Racheal Haule enzi za uhai wake.
Share:

AIBU MUME WA FLORA MBASHA AMEMBAKA SHEMEJI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 17




Dar es Salaam.Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili,
Share:

TAZAMA PICHA ZA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU AKIONYESHA VITU VYAKE NI BALAAA KWELI.....



 Ni aibu kwa msomi kuweka picha za nusu uchi mtandaoni cheki huyu mmoja wa wanachuo wa chuo kimojawapo hapa dodoma ameweka picha hizi mtandaoni
BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA PICHA
Share:

Mchumba wa Vicky Kamata kumbe ni Tapeli Alishawatapeli Wadada Wengine Wawili



Haya ndo manejo ya Le Mutuz mara baada ya kukutana na Mhe. Vicky Kamata, nanukuu:
Share:

MUME WA FLORA MBASHA ASAKWA KWA UBAKAJI


JESHI la Polisi Mkoa wa Ilala jijini Dar es Salaam linamsaka kwa udi na uvumba Emmanuel Mbasha (pichani) ambaye ni mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kwa madai ya kumbaka shemeji yake mwenye miaka 17 (jina tunalo) ambaye ni yatima.
Flora Mbasha akiwa na mumewe Emmanuel Mbasha anayetuhumiwa kwa ubakaji.
Share:

BOTI YAZAMA NA KUUA WATU ZIWA VICTORIA CHEKI PICHA HAPA




Watu watano wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama ndani ya Ziwa Victoria.

Share:

Kwanini Mabinti wa Kitanga Wanagombaniwa?



Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata
Share:

PIGO KWA MANCHESTER UNITED MMILIKI WA TIMU AFARIKI


Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.
Share:

Muonekano Mpya wa Mwigizaji Lulu Michael Baada ya Kuachana na Mawigi


Huyu si mwingine bali ni mdogo wetu aliekulia kwenye TV (kwasisi wa miaka ya
Share:

Wednesday 28 May 2014

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/G/23 27 Mei, 2014 KUITWA KAZINI


Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda
kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili
kuanzia tarehe 09 Aprili, 2014 hadi tarehe 09 Mei, 2014 kuwa
walioorodheshwa katika tangazo hili wamefaulu usaili na wanatakiwa
kuripoti kwa Mwajiri kama ilivyoonyeshwa katika tangazo hili.
Aidha, wanatakiwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi
walivyopangiwa kwa muda ambao umeainishwa kwenye barua zao za
kupangiwa vituo vya kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals Certificates)
vya masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili vihakikiwe na
mwajiri kabla ya kupewa barua ya ajira.
Share:

BREAKING NEWS:"WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SOKOINE-MOROGORO WAGOMA TENA"

                
 Image by FlamingText.com

                      
HABARI ZILIZOTUFIKIA MDA SI MREFU NI KWAMBA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA SOKOINE WAMEGOMA KUINGIA MADARASANI KUTOKANA NA MWENZAO MMOJA KUZIMIA DARASANI WAKATI MWALIMU AKIWA ANAFUNDISHA DARASANI.
                                       
MWANAFUNZI HUYO MWAKA WA PILI KOZI YA AGRICULTURE GENERAL MWAKA WA PILI AMEANGUKA GHAFLA DARASANI KUTOKANA NA KUTOKULA KWA MDA WA SIKU MOJA HUKU AKIWA ANASHINDIA MAJI YA KUDOWNLOD YAJULIKANAYO KAMA MOZILA FIREFOX.

HADI SASA HAIJAJULIKANA NI LINI WATAINGIA MADARASANI,HUKU WAKISHINIKIZA  CHUO  KUWALIPA HELA YAO YA CHAKULA.
Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger