Tazama picha Mwenge wa Uhuru ukitoka Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga kwenda Halmashauri ya Shinyanga leo Jumamosi Julai 29,2023 - Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
...
Na Mariam Kagenda _ Kagera
Mbunge wa jimbo la Bukoba Vijijini Jason Rweikiza amewataka wananchi kujiandaa kwa ajili ya kuchangamkia bima ya afya kwa wote itakapoanza.
Dkt Rweikiza ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Buhendangabo baada ya diwani wa kata hiyo Teophily Elieza...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akisoma kitabu mara baada ya kutembelea Maktaba ya Taifa jijini Dar es Salaam.
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameutaka uongozi wa Bodi ya Huduma za Maktaba kutoendelea na ujenzi...
Mmoja wa wakimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa akishuka kwenye tangi la Maji lililopo Ishinabulandi kata ya Samuye katika Mradi wa Maji Masengwa awamu ya pili kata ya Masengwa Halmashauri ya wilaya ya Shinyanga
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2023,...