Thursday, 29 June 2023

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO IJUMAA JUNI 302023























Share:

MKWANJA UPO KASINO YA MTANDAONI MERIDIANBET


Kama ulikuwa unadhani umeona vingi au kufanya vingi, basi sahau kabisa bado kuna vingi sana huvijui na leo nakusogezea mchongo ambao huenda unaujua au huujui unahitaji kuufahamu, ni kutoka kasino ya mtandaoni.

 

Kupitia kasino ya mtandaoni kuna sloti ya kupiga hela kirahisi sana, cheza kasino ya mtandaoni mchezo wa Dream Catcher unaokupa nafasi ya kutimiza ndoto zako kwa kuweka dau dogo na kuwa tajiri.

 

Licha ya yote ukibeti na Meridianbet unapata odds kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

 

 

Ushindi na Sloti ya Dream Catcher ya Meridianbet

 

Dream Catcher ni mchezo was loti unaohusisha gurudumu la pesa, maarufu kama Money Wheel. Gurudumu hili linahusisha ndoto yako ya kunasa ushindi mkubwa. Dream Catcher mchezo wa kasino ya mtandaoni unakupa nafasi ya kufukuzia ndoto zako kwa kukupa ushindi mkubwa.

 

Sloti ya Dream Catcher ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao hutumia gurudumu la bespoke likiwekwa vyema kwa usahihi kabisa na kuchezeshwa kwa umakini kukupa nafasi ya kufukuzia mchongo wako wa ushindi.

 

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

Muhudumu wa moja kwa moja, unayemuona LIVE akichezesha mchezo wako pendwa, atakuvutia kwa utanashati, na namna anavyokurahisishia mchezo wako. Utafurahia sauti nzuri zikisindikiza safari yako ya kufukuzia ndoto ya ushindi. Hili huwawezesha wachezaji kufurahia mchezo wakiwa wanaona kila kitu kwenye skrini. Inafaa kujaribu.

 

Muhudumu huzungusha gurudumu na kuwashirikisha na wachezaji.  Wachezaji huweka dau kwenye nambari wanayofikiri gurudumu itasimama ikiwa ni: 1, 2, 5, 10, 20 au 40. Mchezaji akiweka bashiri kwenye nambari sahihi atashinda malipo yanayolingana (k.m. 1 hadi 1, 2 hadi 1, 5).  hadi 1, na kadhalika).

 

 Sehemu za vizidishi 2x au 7x za bonasi hutoa uwezekano wa malipo ya ukubwa wa juu. Bila kusahau unaweza kucheza michezo mwingine mingi kwenye casino ya Meridianbet na kufukuzia Jackpoti ya kasino na bonasi kibao kwenye ubashiri wa kawaida. Ingia windoni kuifukuzia ndoto ya ushindi sasa! Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.


Share:

MERIDIANBET YAKIMBIZA VIWANJA VYA SABA SABA



Ikiwa msimu huu wa Saba Saba umeanza rasmi, Magwiji wa Ubashiri Tanzania Meridianbet walitikisa eneo hilo huku wakija na kile ambacho wewe mteja wao na usiyekuwa mteja wao utakihitaji, ikiwemo bonasi kama zote, USSD na mengine mengi.

Meridianbet msimu huu mpya wa Saba Saba 2023, wanasema hivi wamekuja na Jakipoti kubwa kabisa ya shilingi Milioni 85 tuu endapo utabashiri mechi zote 13 kwa usahihi kwa dau la shilingi 1000 tuu.

Pia wamekuletea sloti mashine ambazo zipo kwenye kila maduka yao hapa Tanzania nzima, na kwasasa hivi hapa jijini Dar es salaam maduka hayo ni mengi sana, hivyo ni rahisi sana kwako kuingia na kucheza michezo ya sloti uitakayo.

Ukiwa bado unajiuliza utapata wapi pesa kwa urahisi msimu huu ambao ligi mbalimbali zimemalizika, basi Meridianbet wanakwmabia bado wana michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits Piggy Party na mingine kibao kwa dau dogo tuu unakuwa bingwa.

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Kama bado hujajiunga na Meridianbet ingia www.Meridiabet.co.tz na fuata maelezo ambayo watakuletea, au kwa USSD PIAGA *149*10# na uanze kufadika na boansi ambazo zinazotolewa na magwiji hawa wa ubashiri Tanzania.

Pia Kampuni hii wamekuja na kaulimbiu yao mpya msimu ambayo inajulikana kwa jila la “CHAGUA TUKUPE” wakimaanisha kuwa ukitaka ODDS KUBWA, zipo, machaguo zaidi ya 1000 yanapatikana pale, mechi za mmuda wote zipo yani kila ukitakacho wanakupatia.

 Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Ukifika Saba Saba nenda moja kwa moja hadi Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania ingia ndani na utakutana na mtaalamu wa masuala ya ubashiri Bwana Sadiki ambaye atakueleza kila kitu kinachohusiana na Meridianbet kuanzia michezo ya kasino, bonasi watoazo na namna ya kujiunga kama bado hujajiunga.

Lakini si hayo tuu bali kutakuwa na michezo ya kasino ya kushindana ambayo mshindi atapewa zawadi kama ni tisheti, bonasi ya shilingi elfu 50 au laki moja pamoja na mizunguko ya bure ambayo atawekewa kwenye akaunti yake ya Meridianbet.

Beti na Meridianbet mechi zote odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Meridianbet kama Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania wao ndio suluhisho kwa wewe mteja unayebashiri wala haina haja ya kuhangaika fika Saba Saba pale na Meridianbet wakupe unachohitaji wana zawadi kwaajili yako. Changamkia fursa muda ndio huu.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE

Share:

UONGOZI WA KIWANDA A TO Z WATAKIWA KUWAPA MIKATABA YA AJIRA WAFANYAKAZI 131




Kamishna wa Kazi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Suzan Mkangwa akizungumza na Uongozi wa Kiwanda hicho.


Mkurugenzi wa Rasilimali watu Watu wa Kiwanda Cha A to Z Textile Mills Limited akitoa maelezo kuhusu Kiwanda hicho.


Kamishina wa Kazi Ofisi ya Waziri Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Suzan Mkangwa akiangalia bidhaa zinazozalishwa na Kiwanda hicho


Kamishina wa Kazi Ofisi ya Waziri Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Suzan Mkangwa akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa kazi Wafawidhi, Menejimenti ya Kiwanda cha A to Z Textile Mills walipotembelea Kiwanda hicho, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho.

Na: Mwandishi wetu - Arusha.

Kamishina wa Kazi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Suzan Mkangwa ameutaka uongozi wa kiwanda cha A to Z Textile Miles Limited kutoa mikataba ya Ajira kwa wafanyakazi 131 wa kiwanda hicho kama ambavyo sheria za kazi zinavyoelekeza.

Agizo hilo limetolewa Juni 28, 2023 Jijini Arusha alipotembelea kiwanda hicho, akiambatana na Maafisa Wafawidhi kwa ajili ya kufuatilia utekelezaji wa maelekezo ya Kamati ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii na kubaini baadhi ya wafanyakazi hao hawajapewa mikataba ya Ajira.

Aidha, Mkangwa ameusihi uongozi wa kiwanda hicho kuhakikisha wafanyakazi wa kigeni katika kiwanda hicho wanatekeleza takwa la kurithisha ujuzi kwa wafanyakazi wazawa.

Sambamba na hayo, ameutaka uongozi wa kiwanda hicho kuhakikisha unaboresha sera za uendeshaji wa kiwanda hicho kwa kushirikisha wafanyakazi, viongozi wa Chama vya Wafanyakazi wa kiwanda na TUICO ili sera hizo ziendane na sheria za kazi.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu kutoka kiwanda hicho Mzee Justus ameahidi kuyafanyia kazi maagizo hayo kabla ya mwezi septemba, 2023.
Share:

INAHITAJIKA ELIMU YA AFYA YA AKILI KWA WANANDOA


MILA na desturi za kiafrika zinachangia kwa kiasi kikubwa kuleta utofauti kati ya Mwanaume na Mwanamke kwenye ndoa hasa masuala ya uwajibikaji, mawasiliano pamoja na uwazi ambapo inapelekea kupata matatizo ya Afya ya akili.

Ameyasema hayo jana Juni 28,2023 Mwezeshaji wa Semina za Jinsia na maendeleo (GDSS) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Taasisi inayojihusisha kupunguza kasi ya kujiua Tanzania (TSPC), Bi.Matha Kalinga katika mdahalo kuhusiana na matatizo ya afya ya akili kwenye ndoa na familia.

Amesema wanaume ndo wanaongoza kwa kuwa matatizo ya afya ya akili kuliko wanawake kwneye ndoa ambalo tatizo hilo linapelekea kwa wanaume kutaka kujiua.

Aidha Bi.Matha ameiomba serikali kutengeneza mazingira rafiki kwa wale watu ambao wameathirika na afya ya akili ili waweze kupata msaada na kuondokana na tatizo hilo ambalo mara nyingi hupelekea kutaka kujiua.

"Ili kuondokana na tatizo hili la afya ya akili, unatakiwa kujihusisha na masuala ya michezo, kujichanganya na watu ili kuepuka kukaa peke yako". Amesema Bi.Matha.

Kwa upande wa washiriki wa mdahalo huo, wamepongeza uwepo wa mjadala huo kwani jamii imekuwa ikikumbwa na matatizo ya afya ya akili ambapo knapelekea famili nyingi kuathirika mpaka kwa watoto.



Share:

HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO ALHAMISI JUNI 29 2023






Share:
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Popular Posts

Unordered List

Pages

Blog Archive


Copyright © MASWAYETU BLOG | Powered by Blogger