Sunday, 18 June 2017
Saturday, 17 June 2017
USHAURI KWA FORM SIX WALIOMALIZA 2017,WALIOSOMA MICHEPUO/COMBINATION ZA CBG,PCB,HKL,PCM,PGM,HGE,HGK,HGL,ECA,CBN KUHUSU KOZI NZURI ZA KUSOMEA CHUO KIKUU 2017/2018
Napenda Kuwauunganisha Form 6 leavers na Diploma holder Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi za kuchagua ktk level ya degree
- Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana na Mchepuo wako wa A-level na kwa diploma holder
- Marketable course in terms of Employment opportunities
- Future market ya kozi husika hasa Ktk nchi inayoendelea Kama Tanzania
- Changamoto husika ya kozi kwa vyuo mbalimbali Tanzania
- Competition iliyopo Katika uchaguzi wa kozi Mbalimbali
- NAPENDA KUKARIBISHA MASWALI, MIJADALA NA HOJA MBALIMBALI KUSAIDIA NDUGU ZETU UNDERGRADUATE KATIKA HATMA YAO YA MASOMO YA NGAZI YA JUU
- MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCB na Diploma zinazo relate na hii combination
- Doctor of medicine Ina high competition kwa Vyuo vyote Kama ufaulu mdomo kuwa Makin katika kuichagua
- Bsc. Pharmacy
- Bsc. Nursing
- Bsc. Medical laboratory science
- Bsc. Microbiology
- Bsc. Molecular biology & Biotechnology
- Bsc. Biotechnology & Laboratory science
- Bsc. Food science & Technology
- Bsc. Agronomy
- Bsc. Animal science & production
- Bsc. Wildlife management
- Bsc. Veterinary medicine
- Bsc. Forestry
- Bsc. Agricultural general
- Bsc. With Education
- MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya PCM na diploma zinazo relate na Tahasusi iyo
- All field of Engineering hasa
- Civil Eng,
- Mechanical Eng,
- Electronics & Telecommunications Eng,
- Electrical Eng,Computer Eng,
- Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng,
- architecture, Quantity Survey, Geomatics,
- Actuarialscience, Computer science, ICT,
- Chemical & Processing Eng
- Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry
- Geology,
- Engineering geology
- Bsc. With Education
- MUONGOZO kwa Tahasusi ya CBG CBG & CBA na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
- ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENYE TAHASUSI YA PCB NB:Kwa MD baadhi ya vyuo Hawatakua na Vigezo vya kudahiliwa bcoz wanaconsider na physics A level
- MUONGOZO kwa Tahasusi ya PGM na kozi za diploma zinazo relate nayo
- ANAWEZA CHAGUA KOZI ZOTE AMBAZO ZIPO KWENY TAHASUSI YA PCM Pia kozi zengine ni Kama Aircraft Maintenance Engineering but Ada yake Iko juu sana
- MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi Ya EGM & HGE Na diploma zinazo relate na Tahasusi hii
- Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
- Bsc. Building Econmics
- Bsc. Actuarialscience
- Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
- Bsc. Architecture
- Bsc. Geomatics
- B. A Economics & Statistics
- Bsc. Computer science , Bsc ICT
- B.A land management & Valuation
- B. A Economics
- B. A Accounting & Finance
- Bsc. With Education
- MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi ya ECA na diploma zinazo relate nazo
- Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
- B. A accounting & Finance
- B Business Administrator ( Accounting & Finance)
- B Banking&Finance, B Economics & Finance, B Procurement & Logistic Supply/Mgt
- B. A with Education
- MUONGOZO WA kozi za kuchagua kwa Tahasusi za HGL, HGK & HKL na diploma zinazo relate na hii Tahasusi
- LL. B (B. Law)
- B. Land management & Valuation
- B. A Human resource management
- All kozi relate with community development & Planning
- B. A with Education