
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewataka akina mama kuhakikisha wanawanyonyesha watoto wao mara kwa mara kadri wanavyotaka huku akisisitiza kuwa kunyonyesha maziwa ya mama pekee miezi sita ya mwanzo ya maisha ya mtoto ndiyo njia bora na salama...